Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
Ni kweli yamemkutaMkuu Paskali
NInaona kama Membe anashinikizwa na siyo kushauriwa kupitia hoja yako.
Unaposema asipowatii maaskofu yatamkuta...... je kusamehe ni Lazima au Hiyari ya mtu?
Marehemu baba yangu alinkusia kuwa, ukipewa ushauri una hiyari ya kuupokea na kuutumia ama kuukataa. Lakini kama ushauri huo unashinikizwa sana uufuate ni wazi kuna mushkeli kwenye ushauri huo....
Kwaio maaskofu wanajua ABCs za kifo cha Membe