Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo

Utapeli tu huu, hakuna kitu cha hivi. Mmeaminishwa uongo sana.

Kwanza hao viongozi, wana sifa hizi? Ikipungia hata moja, wapite hivi.

assage

Resources

Hebrew/Greek

Your Content

1 Timotheo 3:1-7

Neno: Bibilia Takatifu

Viongozi Katika Kanisa

3 Neno hili ni kweli, kwamba mtu akitaka kuwa askofu, anata mani kazi njema. 2 Basi, askofu awe mtu asiye na lawama. Awe mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtaratibu, mkarimu na aju aye kufundisha. 3 Asiwe mlevi, wala mgomvi bali awe mpole; asiwe mbishi wala mtu apendaye fedha. 4 Aweze kuisimamia nyumba yake vizuri akiwafanya watoto wake kuwa wanyenyekevu na wenye heshima katika hali zote. 5 Kwa maana kama mtu hawezi kuitawala nyumba yake mwenyewe atawezaje kuliangalia kanisa la Mungu? 6 Asiwe mtu aliyeongoka karibuni asije akajiona na kuhukumiwa kama shetani alivyohukumiwa. 7 Kadhalika, awe mwenye sifa njema kati ya watu wa nje ya kanisa, asije akalaumiwa na kuanguka katika mtego wa shetani.
 
Mungu akiamua kupeleka ujumbe wake popote, siku zote humtumia yeyote, hata jambazi anaweza kuja kwako kukupa habari za ukombozi, ile inakuwa ni sauti ya Mungu kupitia kwa jambazi, sasa ukipoteza muda wako kujiuliza hata huyu?

Ujue umeshaangamia.
 
Kama swala kusameheana je mahakama na jera zimewekwa za nini kwa gharama kubwa za kujenga Na uendeshaji?

Kwani kule kusema “yatiini mamlaka” maana yake ni nini?

Je si kufuata sheria inavyosema?

Kwani alimchukulia sheria mkononi?

Si aleenda kwenye vyombo vya haki?

Watu wafanye makosa ya makusudi huku wakijua maaskofu watawaombea msamaha?

Tutakuwa tunahenga Taifa la namna gani? [emoji2369]
 
Basi walofanya makosa waliopo magerezani wasamehewe Na mahabusu wote waachiliwe serikali iokoe hela za uendeshaji zikatumike kuleta Maji na umeme , madawa n.k
 
Uliona mbali sana kamanda ... Aisee
 
Kuingia kwenye ulimwengu wa kiroho ukiwa mwovu ila umevikwa kofia ya kiongozi wa dini!!!
 
Duhhh aiseee uliona mbali wewe ni Legend .
 
NOTED! 🤡
 
Bernard Camilus Membe,
Umepigana vita vilivyo vitakatifu,
Imani umeitunza,
Mwendo umeumaliza!.
Bwana alileta
Bwana ametwaa
Jina lake Lihimidiwe
RIP Bernard Cammilus Membe
Paskali
 
Bandiko hili ndilo lilikuwa bandiko langu la mwisho kumshauri kitu Benard Membe, ambalo nililipost just 14 days kabla ya kifo chake!.

Na hili ni bandiko langu la mwisho kumhusu Benard Membe, Buriani Benard Membe, Umepigana Vita Vilivyo Vitakatifu, Mwendo Umeumaliza, Imani Umeitunza, Madeni Yako Yaliyobakia Karma Itakulipia!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…