Bernard Morrison aachwa rasmi na Yanga SC

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Bernard Morrison aachwa Rasmi na Yanga SC.

Kama klabu imethubutu mazima kuachana na huyu mwamba basi nina uhakika kuna kitu kinapikwa jikoni.

Nafahamu kuwa alikuwa option ya muda mfupi katika msimu huu, licha ya kuwa alikosea kwa kukubali pesa iliyotia najisi katika kipaji chake hata kushuka uwezo na kipaji kupungua.

Nafahamu kama angebaki njia kuu basi angefanikiwa kulinda uwezo wake na kupata fursa ya kusalia klabuni.

Asanteni kwa uthubutu viongozi wetu.

 
Dakika za mwisho Morrison alianza kucheza mpira mzuri wa kuonyesha anajutia na anaomba nafasi ya kurekebisha upumbav wake alioufanya, alicheza mpira wa kuonyesha anahitaji kubaki Yanga na alitambua kwa ujinga alioufanya mpira wa hizi team kubwa hazimtaki zimemchoka... Babati mbaya imekuwa too late kwasasa hizi Club kubwa 2 hawana interest naye...
 

Club ya Yanga imetangaza kuachana na Mchezaji wake Bernard Morrison Raia wa Ghana baada ya kuwatumikia kwa nyakati mbili tofauti.

Yanga hadi sasa wameachana na Wachezaji watatu na Makocha wawili ambao ni Twisilla Kisinda, Dickson Ambundo na Bernard Morrison pamoja na Kocha Mkuu Nessredine Nabi na Kocha wa makipa Milton Nienov.

Kwa uamuzi huu wa kuachana na Morrison unawapa Yanga BIG YES au BIG NO ?
 
Nadhani alijaribu kudanganya na uongo wake haukufanikiwa kwa Morison viongozi walijitahidi sana kumvumilia
 
Daaah huyu jamaa angetulia mapepe yake angekuwa mchezaji mzuri sana
Kama ana Mahusiano na DJ Mmoja maarufu wa Kike wa Redio moja Kubwa nchini ambaye anavuta Bangi na Kubwia Unga mwenye IST Nyeusi na aliyepanga Mbezi Maua kwa Rubani unategemea na Yeye Bernard Morisson atakuwa na Akili au sawa sawa Kichwani?

Niendelee au niishie tu hapa juu yake?
 
Ninachomwomea Huruma alitumia Mbinu ya Kishamba na Kizamani ya Kukiwasha sana Uwanjani Mkataba ukikaribia Ukingoni ili apewe Mwingine ila Safari hii Viongozi wa Yanga SC wamemtosa mazima.
 
Daaah huyu jamaa angetulia mapepe yake angekuwa mchezaji mzuri sana
Anaenda Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…