demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Bernard Morrison aachwa Rasmi na Yanga SC.
Kama klabu imethubutu mazima kuachana na huyu mwamba basi nina uhakika kuna kitu kinapikwa jikoni.
Nafahamu kuwa alikuwa option ya muda mfupi katika msimu huu, licha ya kuwa alikosea kwa kukubali pesa iliyotia najisi katika kipaji chake hata kushuka uwezo na kipaji kupungua.
Nafahamu kama angebaki njia kuu basi angefanikiwa kulinda uwezo wake na kupata fursa ya kusalia klabuni.
Asanteni kwa uthubutu viongozi wetu.