Bernard Morrison asimamishwa Simba SC kwa utovu wa nidhamu

Bernard Morrison asimamishwa Simba SC kwa utovu wa nidhamu

Tatizo wanaishi kitajiri sana kwenye nchi masikini kichaa kama morison unamlipa milioni sita,signing fee milioni 290 anaishia kukesha baa za tabata na malaya
 
Mmerahisishiwa namna ya kumpata . Hakuna haja tena ya kupeleka malalamiko CAS . Kazi kwenu utopolo.
 
Iwe kweli au si kweli lakini Simba kumsajili Morrison ilikuwa ni Jambo ya ovyo kama Yanga walivyotaka kumsajili Mkude. Mwanamke mkorofi atadumu kwenye ndoa kama tu atabaki Kwa mwanaume aliyemzoea.
Jambo la ovyo kivip?.Kwani uwepo wake haujawai kuisaidia timu?.au ulitaka aweje?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Duuh yaani story za kutunga unaanzishia uzi kabisa,, itakua unafanyia kazi magazeti ya udaku.
Siku nyingine utakuwa umejifunza
1643986491410.jpg
 
View attachment 2107865

Mshambuliaji Bernard Morrison hakuonekana katika mchezo wa jana Februari 3, wa timu yake ya Simba dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Mkapa katika Ligi Kuu Bara.

Hakuna taarifa rasmi juu ya Mghana huyo, lakini mapema leo amepost picha akiwa amebeba mabegi kama vile mtu ambaye anajiandaa kusafiri. Hajaweka wazi zaidi ya kuandika:

“Something huge about to BLOW”
"Guess what??

Sasa anadaiwa kuwa alisimamishwa na uongozi baada ya kile kilichoelezwa kuwa alitoka kambini bila ruhusa, kitendo ambacho ni utovu wa nidhamu.

Viongozi wamekasirishwa na kilichotokea na kuna uwezekano mkubwa akaondoka baada ya mkataba wake kumalizika au hata kabla ya mkataba kumalizika kwa kuwa timu imekuwa haifanyi vizuri hivi karibuni, huku Morrison mwenyewe akishindwa kuonyesha kiwango cha juu.

View attachment 2107718
Aende, Kibu Denis ni more potential kuliko yeye
 
Nyie wenyewe ndiyo mlimfundisha huo utovu wa nidhamu, leo tena mnamtisha kumchukulia hatua za kinidhamu, kwa kweli makolo ndiyo mna haribu na kuvubaza mpira wa nchi hii
 
Limewafika ceo senzo mazingiza amewataadharisha Simba kuhus mchezaji huyu kumbe alikuwa sahih
 
Wakili msomi Bernad Morrison ameshaanza vitu vyake! Yetu macho na masikio tu!
 
Back
Top Bottom