3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
baada ya tutor wake msukule kufukuzwa kaziNaona amedisco chuo Cha soka,😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baada ya tutor wake msukule kufukuzwa kaziNaona amedisco chuo Cha soka,😂😂😂
Absolutely. 😀Makolo ndio wanajua hawajui 😀
Mlipeni pesa zake, hakuna wakili msomi asiye na nidhamumwalimu akiwa haji manara
Yaani Morrison ni tatizo,ona maisha yake ya Soka hapaIkiisha waje watuambie wanajifili aje. 🤣🤣🤣
Ila kajua kuviweza vilabu vikubwa vya Tanzania aisee.Yaani Morrison ni tatizo,ona maisha yake ya Soka hapaView attachment 2108943
kuna sehemu imeandikwa/kusema kama anadai bwana uto?Mlipeni pesa zake, hakuna wakili msomi asiye na nidhamu
Atacheza namba ya nani? Yanga hatutaki wahuni kama MorrisonNdo anakuja utoh mpokeeni
Amewasomesha watu hawana hamu naye.Wakili msomi.