Bernard Morrison asimamishwa Simba SC kwa utovu wa nidhamu

Simba Tuna Uzoefu wa Ku Deal Na Viumbe Kama Hawa.

Kuna Msumbufu Simba Zaidi Ya Mkude?

Kwanini Kwa Morrison Iwe Big Deal?
 
View attachment 2107865

Mshambuliaji Bernard Morrison hakuonekana katika mchezo wa jana Februari 3, wa timu yake ya Simba dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Mkapa katika Ligi Kuu Bara.

Hakuna taarifa rasmi juu ya Mghana huyo, lakini mapema leo amepost picha akiwa amebeba mabegi kama vile mtu ambaye anajiandaa kusafiri. Hajaweka wazi zaidi ya kuandika:

“Something huge about to BLOW”
"Guess what??

Sasa anadaiwa kuwa alisimamishwa na uongozi baada ya kile kilichoelezwa kuwa alitoka kambini bila ruhusa, kitendo ambacho ni utovu wa nidhamu.

Viongozi wamekasirishwa na kilichotokea na kuna uwezekano mkubwa akaondoka baada ya mkataba wake kumalizika au hata kabla ya mkataba kumalizika kwa kuwa timu imekuwa haifanyi vizuri hivi karibuni, huku Morrison mwenyewe akishindwa kuonyesha kiwango cha juu.

View attachment 2107718
Mtoto umeleavyo ndivyo akuavyo si mlimbatiza huyu jina la wakili msomi! Sasa amewakalia kichwani
 
Za ndaaaaani kabisa.

Kumbe kajamaa kameweka mgomo baridi baada ya malimbikizo ya mshahara.

Nilikua nataka nishangae tangu lini wakili msomi asiwe na nidhamu.[
 
Simba Tuna Uzoefu wa Ku Deal Na Viumbe Kama Hawa.

Kuna Msumbufu Simba Zaidi Ya Mkude?

Kwanini Kwa Morrison Iwe Big Deal?
Historia ya usumbufu wa Mkude ipo vipi?

Na vipi kuhusu historia ya usumbufu wa BM, imeanzia hapo Simba Sports?

Mwisho wa kutumikia kila Club aliyocheza ulikuwa mzuri au sio mzuri?

Kwanini timu kila timu atakayochezea lazima awe na migogoro binafsi na utovu wa nidhamu?

Ukipata hayo majibu ndo utajua huyo Mkude sio mtovu wa nidhamu ila ni mkaidi tu wa pale Kinondoni
 
Kila la heri BM# ila angalia utopolo wasije wakakufanyia kile simba walichomfanyia Tshishimbi umesainishwa mkataba wa awali na injinia umeanza nyodo mcongo yalimkuta hayo leo yuko kitayosa ,omba Mungu hao jama wawe wamekusamehe kwa dhati la sivyo wanakupigisha shoti moja ya hatari
 
View attachment 2107865

Mshambuliaji Bernard Morrison hakuonekana katika mchezo wa jana Februari 3, wa timu yake ya Simba dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Mkapa katika Ligi Kuu Bara.

Hakuna taarifa rasmi juu ya Mghana huyo, lakini mapema leo amepost picha akiwa amebeba mabegi kama vile mtu ambaye anajiandaa kusafiri. Hajaweka wazi zaidi ya kuandika:

“Something huge about to BLOW”
"Guess what??

Sasa anadaiwa kuwa alisimamishwa na uongozi baada ya kile kilichoelezwa kuwa alitoka kambini bila ruhusa, kitendo ambacho ni utovu wa nidhamu.

Viongozi wamekasirishwa na kilichotokea na kuna uwezekano mkubwa akaondoka baada ya mkataba wake kumalizika au hata kabla ya mkataba kumalizika kwa kuwa timu imekuwa haifanyi vizuri hivi karibuni, huku Morrison mwenyewe akishindwa kuonyesha kiwango cha juu.

View attachment 2107718
kumbe wachezaji nafikiri huwa wanakuwa wanalindwa muda wote (kwasababu wamenunuliwa wanapohamia kwenye timu hiyo), labda wanaogopa akitoka nje ya kambi bila servailance au ruhusa hawatajua kama ameenda kuongea na timu pinzani kuhamia kwao etc. kwani wanachokuwa wanaogopa ni nini mtu kutoka kambini? kama mtu anacheza mpiga kutafuta pesa hammpi hata nafasi kuongea na timu zingine pengine watapanda dau ili ahamie huko?
 
wakitoka kambini wanaenda kunywa disco na kunywa pombe.
 
Duuh yaani story za kutunga unaanzishia uzi kabisa,, itakua unafanyia kazi magazeti ya udaku.
Vipi Mkuu bado wametunga au wametungua? Wapenda soka halisi tukimkataa mtu tumeona madhaifu yake. Wengine huo Uyanga/Simba hatuna tukisema yanatoka rohoni. Morrison hakuna timu nchi hii anaweza kukaa kabla hajafikisha miaka 32.
 
Back
Top Bottom