Bernard Morrison asimamishwa Simba SC kwa utovu wa nidhamu

Tatizo wanaishi kitajiri sana kwenye nchi masikini kichaa kama morison unamlipa milioni sita,signing fee milioni 290 anaishia kukesha baa za tabata na malaya
 
Mmerahisishiwa namna ya kumpata . Hakuna haja tena ya kupeleka malalamiko CAS . Kazi kwenu utopolo.
 
Iwe kweli au si kweli lakini Simba kumsajili Morrison ilikuwa ni Jambo ya ovyo kama Yanga walivyotaka kumsajili Mkude. Mwanamke mkorofi atadumu kwenye ndoa kama tu atabaki Kwa mwanaume aliyemzoea.
Jambo la ovyo kivip?.Kwani uwepo wake haujawai kuisaidia timu?.au ulitaka aweje?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Aende, Kibu Denis ni more potential kuliko yeye
 
Nyie wenyewe ndiyo mlimfundisha huo utovu wa nidhamu, leo tena mnamtisha kumchukulia hatua za kinidhamu, kwa kweli makolo ndiyo mna haribu na kuvubaza mpira wa nchi hii
 
Limewafika ceo senzo mazingiza amewataadharisha Simba kuhus mchezaji huyu kumbe alikuwa sahih
 
Wakili msomi Bernad Morrison ameshaanza vitu vyake! Yetu macho na masikio tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…