ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Mtoto umeleavyo ndivyo akuavyo si mlimbatiza huyu jina la wakili msomi! Sasa amewakalia kichwaniView attachment 2107865
Mshambuliaji Bernard Morrison hakuonekana katika mchezo wa jana Februari 3, wa timu yake ya Simba dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Mkapa katika Ligi Kuu Bara.
Hakuna taarifa rasmi juu ya Mghana huyo, lakini mapema leo amepost picha akiwa amebeba mabegi kama vile mtu ambaye anajiandaa kusafiri. Hajaweka wazi zaidi ya kuandika:
“Something huge about to BLOW”
"Guess what??
Sasa anadaiwa kuwa alisimamishwa na uongozi baada ya kile kilichoelezwa kuwa alitoka kambini bila ruhusa, kitendo ambacho ni utovu wa nidhamu.
Viongozi wamekasirishwa na kilichotokea na kuna uwezekano mkubwa akaondoka baada ya mkataba wake kumalizika au hata kabla ya mkataba kumalizika kwa kuwa timu imekuwa haifanyi vizuri hivi karibuni, huku Morrison mwenyewe akishindwa kuonyesha kiwango cha juu.
View attachment 2107718
Mkude bado anampa verses CEO amkojoleshe?Simba Tuna Uzoefu wa Ku Deal Na Viumbe Kama Hawa.
Kuna Msumbufu Simba Zaidi Ya Mkude?
Kwanini Kwa Morrison Iwe Big Deal?
Red cards za mchongo etc etc.Timu ya mchongo,penalty za michongo, wachezaji wa michongo, kila kitu ni mchongo
Historia ya usumbufu wa Mkude ipo vipi?Simba Tuna Uzoefu wa Ku Deal Na Viumbe Kama Hawa.
Kuna Msumbufu Simba Zaidi Ya Mkude?
Kwanini Kwa Morrison Iwe Big Deal?
Labda alishafanikiwa!Mkude bado anampa verses CEO amkojoleshe?
Bado unaendelea kuota kama ni uzushi?Ni uzushi kama ulivyo uzushi mwingine.
kumbe wachezaji nafikiri huwa wanakuwa wanalindwa muda wote (kwasababu wamenunuliwa wanapohamia kwenye timu hiyo), labda wanaogopa akitoka nje ya kambi bila servailance au ruhusa hawatajua kama ameenda kuongea na timu pinzani kuhamia kwao etc. kwani wanachokuwa wanaogopa ni nini mtu kutoka kambini? kama mtu anacheza mpiga kutafuta pesa hammpi hata nafasi kuongea na timu zingine pengine watapanda dau ili ahamie huko?View attachment 2107865
Mshambuliaji Bernard Morrison hakuonekana katika mchezo wa jana Februari 3, wa timu yake ya Simba dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Mkapa katika Ligi Kuu Bara.
Hakuna taarifa rasmi juu ya Mghana huyo, lakini mapema leo amepost picha akiwa amebeba mabegi kama vile mtu ambaye anajiandaa kusafiri. Hajaweka wazi zaidi ya kuandika:
“Something huge about to BLOW”
"Guess what??
Sasa anadaiwa kuwa alisimamishwa na uongozi baada ya kile kilichoelezwa kuwa alitoka kambini bila ruhusa, kitendo ambacho ni utovu wa nidhamu.
Viongozi wamekasirishwa na kilichotokea na kuna uwezekano mkubwa akaondoka baada ya mkataba wake kumalizika au hata kabla ya mkataba kumalizika kwa kuwa timu imekuwa haifanyi vizuri hivi karibuni, huku Morrison mwenyewe akishindwa kuonyesha kiwango cha juu.
View attachment 2107718
wakitoka kambini wanaenda kunywa disco na kunywa pombe.kumbe wachezaji nafikiri huwa wanakuwa wanalindwa muda wote (kwasababu wamenunuliwa wanapohamia kwenye timu hiyo), labda wanaogopa akitoka nje ya kambi bila servailance au ruhusa hawatajua kama ameenda kuongea na timu pinzani kuhamia kwao etc. kwani wanachokuwa wanaogopa ni nini mtu kutoka kambini? kama mtu anacheza mpiga kutafuta pesa hammpi hata nafasi kuongea na timu zingine pengine watapanda dau ili ahamie huko?
Ndo anakuja utoh mpokeeniFupa hilo angaikeni nalo Makolo mliambiwa hakusikia
Muhuni ni muhuni tu hawezi badilika
Nilitaka nikutag Mkuu.Imekuaje tena ndugu zangu? Huyu si wakili msomi? Mtatuzi wa shida zenu........
Hahahaaa. Mkuu hebu waite hawa kina naniliu mbona wanajifanya kama uzi hawauoni. 🤣Walidhani wanaikomoa Yanga,kumbe wanakanyaga majivu na kukanyaga moto
Ame Disco masomo yakeNilitaka nikutag Mkuu.
Waliona sifa pale alipowaambia "Simba is the University of soccer" 😅😅
Haya imekuwaje tena?
Vipi Mkuu bado wametunga au wametungua? Wapenda soka halisi tukimkataa mtu tumeona madhaifu yake. Wengine huo Uyanga/Simba hatuna tukisema yanatoka rohoni. Morrison hakuna timu nchi hii anaweza kukaa kabla hajafikisha miaka 32.Duuh yaani story za kutunga unaanzishia uzi kabisa,, itakua unafanyia kazi magazeti ya udaku.