Bernard Morrison asimamishwa Simba SC kwa utovu wa nidhamu

Ila hapa ndo 5imba wajue asiyefaa hafai tu siku zote hata umuweke na kumnyenyekea kwa namna gani ataficha makucha lakini ipo siku atayatoa tu na hiki ndo kimetokea.
Hongera sana we mdada huwa unabusara sana kuliko wanautopolo wote humu kweli lile shipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…