Sasa huoni kuwa Bumbuli Ni proffesional by nature......manara ni mzee wa kukelaTazama press tano za mwisho za Yanga (usajili wa wachezaji, Nani Zaidi, usajili kidigitali wa washabiki, uzinduzi wa wimbo wa ubingwa), halafu uangalie kama utamuona Bumbuli au Manara
Kwa hiyo usajili wa wachezaji na kujitoa katika programu ya mdhamini ya "Nani Zaidi" ni mambo ya kukera?Sasa huoni kuwa Bumbuli Ni proffesional by nature......manara ni mzee wa kukela
Soon mtapigwa Kitu heavyTatizo hamsikilizi habari mnaleta ushabiki tu morison analipwa mshahara na simba kama anataka kwenda yanga arudishe hela alizo kula bila kuzifanyia kazi mmesikia utopolo sio mnamsikiliza yule nguruwe pori tu.
Sasa kwani mkataba umeshaisha mpaka wampe hiyo release letter?Inaonyesha hawakua na interest naye Zaid ya kusubir mkataba kuisha
Kumbe ana kiswahili kilichonyooka hivi, huyu kashakua mtanzania halisi
Na bado watu wanasisitiza tujifunze Kiswahili kwa nguvu zote.Leo nimeumia sana pale Uwanja wa Taifa.
Nimeamini Lugha(English) ni tatizo kubwa kwetu Watanzania! Kuna wanaijeria walifika pale, mlango wa kuwasikl (Arrival) wakitaka kuingia ndani!
Wale jamaa wakafosi kuingia kupitia mlango ule bila kukaguliwa, sasa kwakuwa wao wanajua English, na pale wenzangu (walinzi hawajui) lugha, ikawa lugha gongana!
Jamaa wakawa wanatukana tena kwa ubabe, mwisho wa siku wakaingia bila kukaguliwa!
Nilicho observe pale mpaka wao kuingia kibabe, ilikuwa ufahamu finyu wa lugha kwa wenzetu!
Hakika watanzania itatuchukua muda mrefu sana katika soko la ushindani kimataifa, na tatizo kuu ikiwa ni Lugha.
Morison, anacheza na akiki ya hizi timu sababu kuu ni exposure aliyonayo!
Google translate hata kichina utakuwa fluent.Kumbe ana kiswahili kilichonyooka hivi, huyu kashakua mtanzania halisi
Vp lkn kiwango chake cha mpira...unakionaje mkuuSoka letu haliendeshwi kwa weledi bali kwa mihemko.....Mambo anayoyafanya Morrison sio ya bahati mbaya bali ni N kucheza na akili za viongozi wa vilabu na viongozi wake..........
Morrison amewajua watanzania udhaifu wao pamoja na viongozi wa soka la bongo na ataendelea kuwatumia mpaka watakaporudi kwenye fahamu zao.....matendo ya Morrison ilikuwa ni kuwaprovoke viongozi wa Simba ili wapate na hasira na wamvunjie mkataba awe huru.......lakini viongozi wa Simba wakashtuka na kumpa likizo ndefu mpaka mkataba utakapoisha...........
Kwa vitendo vya utovu wa nidhamu anavyovifanya na alivyovifanya kwenye nchi hii ingekuwa viongozi wa soka letu wanatumia weledi na sio mihemko ya upepo wa mashabiki Morrison angeshafungiwa hata kucheza soka hapa nchini...... imagine mchezaji wa kigeni professional player anamvamia mshabiki na silaha kwa sababu tu kazomewa na kesi yake inamalizwa kimya kimya kwa kuwa kuna viongozi wa kilabu kikubwa wanamtetea.......
Morrison ataendelea kucheza na akili za mashabiki na viongozi wa soka hapa nchini kwa manufaa yake mpaka pale atakapoona ametosheka kwa maslahi maana anajua bongo zetu zimelala sana na bado sana kuamka..........
Good job Benard Morrison fundi wa mpira.......
Bernard ni mchezaji wa Mechi zisizozidi 10 Kwa msimu,anamambo mengi ya kipuuzi nje ya uwanja kuliko uwanjani,anajua namna ya kutafuta mkataba mpya tu......Hapana mkuu.....huu ni mpira tofautisha na siasa za USA vs Russia
Ni mchezaji mzuri sana na mwenye kipaji kikubwa sana Cha soka.....Sifa yake nzuri ya mpira na kipaji chake inaharibiwa na sifa yake mbaya ya nidhamu mbovu.....Vp lkn kiwango chake cha mpira...unakionaje mkuu
weee kubishana kwa kiingereza sio jambo rahisi aiseee muulize manara kule nigeria second round vs rivers utd alishindwa kabsa kubishana akaishiaaa kusemaaa what what what what ...... no no no no no what akamalizie na ohoooo timu aut (team out) hahahahLeo nimeumia sana pale Uwanja wa Taifa.
Nimeamini Lugha(English) ni tatizo kubwa kwetu Watanzania! Kuna wanaijeria walifika pale, mlango wa kuwasikl (Arrival) wakitaka kuingia ndani!
Wale jamaa wakafosi kuingia kupitia mlango ule bila kukaguliwa, sasa kwakuwa wao wanajua English, na pale wenzangu (walinzi hawajui) lugha, ikawa lugha gongana!
Jamaa wakawa wanatukana tena kwa ubabe, mwisho wa siku wakaingia bila kukaguliwa!
Nilicho observe pale mpaka wao kuingia kibabe, ilikuwa ufahamu finyu wa lugha kwa wenzetu!
Hakika watanzania itatuchukua muda mrefu sana katika soko la ushindani kimataifa, na tatizo kuu ikiwa ni Lugha.
Morison, anacheza na akiki ya hizi timu sababu kuu ni exposure aliyonayo!
Mkude kafanya kazi kubwa sana, ingawa kamfundisha na matusi pia.Kumbe ana kiswahili kilichonyooka hivi, huyu kashakua mtanzania halisi