Bernard Morrison atupa kijembe kwa uongozi wa Simba SC

Tazama press tano za mwisho za Yanga (usajili wa wachezaji, Nani Zaidi, usajili kidigitali wa washabiki, uzinduzi wa wimbo wa ubingwa), halafu uangalie kama utamuona Bumbuli au Manara
Sasa huoni kuwa Bumbuli Ni proffesional by nature......manara ni mzee wa kukela
 
Kwahiyo mlitaka simba ndio ivunje mkataba wake na morrison?Kwanini asivunje yeye anayetaka kutoka kabla ya mkataba?Aendelee kutumikia mkataba wake mpaka mwisho.
Tunajua mnataka pesa ....za kumuuza [emoji23][emoji23]
 
Huku ni kujifariji tu.
Kiwango cha Morrison hata kwao ni wachache mno wanaweza kuwa nacho.
Tukubali Simba kuna shida kwenye menejimenti
Janja janja nyng kwny menejiment
 
Sasa huoni kuwa Bumbuli Ni proffesional by nature......manara ni mzee wa kukela
Kwa hiyo usajili wa wachezaji na kujitoa katika programu ya mdhamini ya "Nani Zaidi" ni mambo ya kukera?
 
Ni Tanzania pekee ndiyo kuna huu ujinga, pamoja na giesiemu kuisaidia timu,ila kuna upuuzi wanafanya si sawa na ni dharau kubwa Kwa mashabiki na Brand ya Yanga
Hapana mkuu.....huu ni mpira tofautisha na siasa za USA vs Russia
 
Tatizo hamsikilizi habari mnaleta ushabiki tu morison analipwa mshahara na simba kama anataka kwenda yanga arudishe hela alizo kula bila kuzifanyia kazi mmesikia utopolo sio mnamsikiliza yule nguruwe pori tu.
Soon mtapigwa Kitu heavy
 
Soka letu haliendeshwi kwa weledi bali kwa mihemko.....Mambo anayoyafanya Morrison sio ya bahati mbaya bali ni N kucheza na akili za viongozi wa vilabu na viongozi wake..........

Morrison amewajua watanzania udhaifu wao pamoja na viongozi wa soka la bongo na ataendelea kuwatumia mpaka watakaporudi kwenye fahamu zao.....matendo ya Morrison ilikuwa ni kuwaprovoke viongozi wa Simba ili wapate na hasira na wamvunjie mkataba awe huru.......lakini viongozi wa Simba wakashtuka na kumpa likizo ndefu mpaka mkataba utakapoisha...........

Kwa vitendo vya utovu wa nidhamu anavyovifanya na alivyovifanya kwenye nchi hii ingekuwa viongozi wa soka letu wanatumia weledi na sio mihemko ya upepo wa mashabiki Morrison angeshafungiwa hata kucheza soka hapa nchini...... imagine mchezaji wa kigeni professional player anamvamia mshabiki na silaha kwa sababu tu kazomewa na kesi yake inamalizwa kimya kimya kwa kuwa kuna viongozi wa kilabu kikubwa wanamtetea.......

Morrison ataendelea kucheza na akili za mashabiki na viongozi wa soka hapa nchini kwa manufaa yake mpaka pale atakapoona ametosheka kwa maslahi maana anajua bongo zetu zimelala sana na bado sana kuamka..........

Good job Benard Morrison fundi wa mpira.......
 
Leo nimeumia sana pale Uwanja wa Taifa.

Nimeamini Lugha(English) ni tatizo kubwa kwetu Watanzania! Kuna wanaijeria walifika pale, mlango wa kuwasikl (Arrival) wakitaka kuingia ndani!

Wale jamaa wakafosi kuingia kupitia mlango ule bila kukaguliwa, sasa kwakuwa wao wanajua English, na pale wenzangu (walinzi hawajui) lugha, ikawa lugha gongana!

Jamaa wakawa wanatukana tena kwa ubabe, mwisho wa siku wakaingia bila kukaguliwa!

Nilicho observe pale mpaka wao kuingia kibabe, ilikuwa ufahamu finyu wa lugha kwa wenzetu!

Hakika watanzania itatuchukua muda mrefu sana katika soko la ushindani kimataifa, na tatizo kuu ikiwa ni Lugha.

Morison, anacheza na akiki ya hizi timu sababu kuu ni exposure aliyonayo!
Na bado watu wanasisitiza tujifunze Kiswahili kwa nguvu zote.
 
Vp lkn kiwango chake cha mpira...unakionaje mkuu
 
Hapana mkuu.....huu ni mpira tofautisha na siasa za USA vs Russia
Bernard ni mchezaji wa Mechi zisizozidi 10 Kwa msimu,anamambo mengi ya kipuuzi nje ya uwanja kuliko uwanjani,anajua namna ya kutafuta mkataba mpya tu......
 
Leo nimeumia sana pale Uwanja wa Taifa.

Nimeamini Lugha(English) ni tatizo kubwa kwetu Watanzania! Kuna wanaijeria walifika pale, mlango wa kuwasikl (Arrival) wakitaka kuingia ndani!

Wale jamaa wakafosi kuingia kupitia mlango ule bila kukaguliwa, sasa kwakuwa wao wanajua English, na pale wenzangu (walinzi hawajui) lugha, ikawa lugha gongana!

Jamaa wakawa wanatukana tena kwa ubabe, mwisho wa siku wakaingia bila kukaguliwa!

Nilicho observe pale mpaka wao kuingia kibabe, ilikuwa ufahamu finyu wa lugha kwa wenzetu!

Hakika watanzania itatuchukua muda mrefu sana katika soko la ushindani kimataifa, na tatizo kuu ikiwa ni Lugha.

Morison, anacheza na akiki ya hizi timu sababu kuu ni exposure aliyonayo!
weee kubishana kwa kiingereza sio jambo rahisi aiseee muulize manara kule nigeria second round vs rivers utd alishindwa kabsa kubishana akaishiaaa kusemaaa what what what what ...... no no no no no what akamalizie na ohoooo timu aut (team out) hahahah
 
,
 
Attachments

  • FB_IMG_1655579378566.jpg
    FB_IMG_1655579378566.jpg
    31.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom