Besigye, mwanaume anayeteswa na Museveni kwa sababu ya ugomvi wa mwanamke

Sio tuu Rafiki yake Bali alikuwa daktari wake na familia.

Ndio hivyo Sasa wewe Kwa nini uchukue mwanamke wa boss wako,utakuwa salama? 😂😂
 
Hapo mwanamke hana kosa, ila museven ana roho ya kike, mtu ulimuacha, kaja kaolewa, unamaindi nini sasa?
 
Majina ya Winnie yana matatizo, hata mzee Mandela aliburuzwa sana na Winnie asee na huyu anaburuza wazee wawili now,
 
Besigye baada ya kuchukua chombo cha boss akatamani kuchukua na cheo cha boss akaingia kwenye siasa kisha yakamkuta yakumkuta funzo; heshimu mali za boss wako acha tamaa
 
Sheria ambayo hakuandikwa ya marafiki, huwa huanzishi mahusiano na mpenzi au aliyekuwa mpenzi wa rafiki yako kamwe.
 
Kiiza alikuwa Doctor wa Museveni, pengine ni moja kati ya watu wanayemjua M7 sana. Madikteka hawawapendi watu wa namna hii
 
kuishi kwa akili ilikuwa agano la kale,kwa sasa 2natakiwa kuishi nao mbalimbali,,,,ukishazaa watoto wako kazaa ishi peke yako man!!...,wnawake wa wa sasa ivi inabidi uishi nao kama chizi,sio kwa akili tena!!
 
umekosea kusema kwa Sasa hawana nguvu ...... bakia kwenye hoja
 
Nadhani hata we mtoa posti huyo mke wako/girl friend wako alikuwa ni Ex wa mtu,M7 qjitafakari kwa haya anayoyafanya hayana tija zaidi ni upumbavu tu
 
Licha ya kuwa ni mpinzani mkubwa wa serikali ya Uganda, Kiongozi mkubwa wa chama cha upinzani nchini Uganda na adui mkubwa wa Yoweri Museveni, Mpaka wanafikia hatua ya kuumizana,

Uliwahi kujua kuwa moja ya jambo kubwa alilolifanya Kizza Besigye linalochangia uhasama kati yao ni kitendo cha yeye kumuoa mwanamke aliyekuwa mpenzi wa Rais Yoweri Kaguta Museveni Winnie Byanyima na kumfanya kuwa mke wake rasmi?

Winnie Byanyima, mke wa Kizza Besigye kwa sasa anafanya kazi katika shirika la UNEP jijini Nairobi..

"Kuna maisha nje ya siasa"
I
 

Attachments

  • IMG_20250224_164621.jpg
    465.3 KB · Views: 3
Ndio maana chuki naona haziishi kati yao. Kumbe sababu za Uadui wao siyo Siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…