Besigye, mwanaume anayeteswa na Museveni kwa sababu ya ugomvi wa mwanamke

Besigye, mwanaume anayeteswa na Museveni kwa sababu ya ugomvi wa mwanamke

Mwanamke hapo hana kosa lolote, mu7 kama walivyo wanaume wengi alipenda huyo mwanamke aliyemwacha apauke, asiolewe awe anamlilia kila siku
 
Ila ugomvi umeanza baada ya jamaa kuanza kugombanoa uraisi …. Hamna sehemu mwanamke ndo kasababisha. Ni kwamba anamfundisha adabu mbele ya ex wake tu . Ila besigye nae kakosea kww kiasi flani, mtu umemfanyia kazi umeoa ex wake unaanza choko choko za me yule namweza we kuweza? 🤣
 
Back
Top Bottom