Ila ugomvi umeanza baada ya jamaa kuanza kugombanoa uraisi …. Hamna sehemu mwanamke ndo kasababisha. Ni kwamba anamfundisha adabu mbele ya ex wake tu . Ila besigye nae kakosea kww kiasi flani, mtu umemfanyia kazi umeoa ex wake unaanza choko choko za me yule namweza we kuweza? 🤣