BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

Kwani wewe kwa akili yako ulihisi domo angeshinda tuzo, kwa vigezo vipi haswa? Wacha watu wenye hasira wamshambulie, ashinde domo asishinde yeye anashinda kwa ajili yake na si kwa ajili ya watanzania. Mwacheni apambane na hali yake. Binafsi sikuona point ya yeye kwenda Marekani because niliamini kabisa asingeshinda tuzo.
 
Ko we jeje huijui...?
 
Ww ni msanii..?
 
😄😄😄 kwa hiyo vazi limemuangusha, teh teh
Diamond nadhani alikuwa anajuwa hawezi kupata ila goal ilikuwa aibe spotlight na njia ikawa kimasai lakini hata wakati anaingia redcarpet unamuona kama yuko shock hawa media wako wapi mbona wako busy na wengine hivi hawanioni media kubwa kama zimempotezea kabisa face expression unaona yuko dissapointed sasa ukumbini hata camera kuvutwa nako hakuna alijaribu kupitia katika hili ila nadhani lime fail ila kujaribu sio mbaya lazima tumpongeze next time unajifunza.
 
Huyu jamaa bora kakosa tu. Uchaguzi wa mwaka 2020 aliona kabisa upinzani unakandamizwa waziwazi, lakin bado aliamua kuunga mkono udhalimu wa Magufuli na CCM
Kwa mijali hiyo basi inakubidi uwachukie wasanii wote wa Kibongo kuanzia wa kuimbaimba mpaka wa Bongo movie labda ukimtoa Roma Mkatoliki, ila kwa mimi japo utawala wa Hamnazo ulikuwa wa kishenzi na alistahili kufa pia nilifurahia kifo chake lakini naamini kila mtu ana haki na uhuru wa kuchagua mrengo wa siasa anoona unamfaa kwani hiyo ndiyo demokrasia.
 
Kuna jambo moja ambalo bado watoto hamjatambua, kufikiri diamond ndo mtu pekee anyechukiwa kwasababu katusua

Nikisema niwachukie watu wenye maisha mazuri nakuhalikishia diamond hawezi kuwepo kwenye list. Mo anamilika ma tirion ya pesa na ameajili watu wenye kulipwa probably mkwanja mrefu kuliko icome wa huyo kishtobe wako na bado hujiulizi kwanini simchukii kama sababu ya chuki ni wivu wa mafanikio ya mtu?

Mbona unafikiri kijinga sana hivyo?
 
Arudi kwa baba yake akapige magoti machozi ya yule mzeee ni kivuli ambacho kitaendelea kumtafuna ndani ndani ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…