daah jaman[emoji16][emoji16]Wewe nae taahira.
Unakaa kabisa unasikiliza huyo msimbe anayetanga tanga huko twitter?
Babe msimbe ni nini?Wewe nae taahira.
Unakaa kabisa unasikiliza huyo msimbe anayetanga tanga huko twitter?
mtu ambaye ana sifa za kuoa/ kuolewa na hajafanya hivyo.Babe msimbe ni nini?
Wakati anamponda magu mlishangilia....Huyu mwanaharakati amejidhihirisha yeye ni kichwa panzi kabisa kwenye kampeni za hivi karibuni za BET. Na post yake baada ya burnaboy kuchukua tuzo inajidhirisha hana upeo hata kidogo. Anataka mondi abadili meneja ili apewe yeye? Anajua vizingiti walivyopitia hao mameneja baada ya fitna ya miaka yote ya upende wa clouds na washirika? Hajui roho ya paka ya hao mameneja ndio na leo mondi anawakilisha ipasavyo? Kiufupi hajielewi anachotamani kuona ni kuwa mondi anaanguka. Nilikua namheshimu huyu mwanaharakati kumbe hamna kitu kabisa.
View attachment 1833616
View attachment 1833617
Kabisa,naijeria ni level zingine kabisa na wanajua mno ndio maana hata mondi kuwekwa kipimo kimoja na wao ni hatua kubwa sana. Burna boy anajua tangu kitambo sana sema watu wamemjua miaka ya hivi karibuni ila binafsi nilimfahamu toka 2009/2010 alipotoaga ngoma ya Like to party na ni bonge la ngoma bongo hadi leo tunasubiri kwa ile ngoma. Sasa huyu maria na akili yake ya kiazi anajua yeye ndo kaweka kigingi kwa mondiKilichosababisha afeli mara ya kwanza na ya pili ni nini ilhali alikua na support ya wote.?? Hao watu mi naona kama hawajielewi aisee sijui kwanini hizi tuzo wamezipeleke kwenye mlengo wa kisiasa.
Nigeria wametuacha kimuziki hata hiyo ya diamond kua upande fulani sio sababu kabisa.
Achana nae bebe ujue nimekumisBabe msimbe ni nini?
Hahaha kulaleki eti matagaBashite Baba lao
Sabaya Baba lao
Musiba Baba lao
Mzee Pombe Baba lao
Mataga wake zao[emoji445][emoji445][emoji445][emoji444][emoji444]
Hawaelewi mkuu, ni vizuri akakomaa na sehemu aliyoizoea na kuielewa zaidi. Sio ivo tu burna boy, wizkid na davido wote hao wana connection kubwa marekani tofauti na Diamond.Kabisa,naijeria ni level zingine kabisa na wanajua mno ndio maana hata mondi kuwekwa kipimo kimoja na wao ni hatua kubwa sana. Burna boy anajua tangu kitambo sana sema watu wamemjua miaka ya hivi karibuni ila binafsi nilimfahamu toka 2009/2010 alipotoaga ngoma ya Like to party na ni bonge la ngoma bongo hadi leo tunasubiri kwa ile ngoma. Sasa huyu maria na akili yake ya kiazi anajua yeye ndo kaweka kigingi kwa mondi
Nani analia, tunachosema ni kwamba shangazi yenu ni kiazi na aendelee na harakati zake za siasa ambazo tulimuona anaupeo kidogo. Hata wewe kwa comment mbili tu kwenye huu uzi zimekushusha bora ungepita kimya maana umeongea mondi alikuomba kura kitu kinachodhihirisha pia huwa unarukia mambo kiushabiki na sio kiuhalisiaSasa mnalia nini ?
Sasa mnalialia nini nyie chawa ? Imeandikwa vitabuni kwamba Mshahara wa dhambi ni mauti , endeleeni kushirikiana na wauajiNani analia, tunachosema ni kwamba shangazi yenu ni kiazi na aendelee na harakati zake za siasa ambazo tulimuona anaupeo kidogo. Hata wewe kwa comment mbili tu kwenye huu uzi zimekushusha bora ungepita kimya maana umeongea mondi alikuomba kura kitu kinachodhihirisha pia huwa unarukia mambo kiushabiki na sio kiuhalisia
Upeo wako kupambanua mambo nje ya ushabiki wa kisiasa ni mdogo sawa na wa huyo shangazi yenuSasa mnalialia nini nyie chawa ? Imeandikwa vitabuni kwamba Mshahara wa dhambi ni mauti , endeleeni kushirikiana na wauaji
πππ Tuliwaambia kila mtu ashinde mechi zake , tuone mwisho itakuwajeUpeo wako kupambanua mambo nje ya ushabiki wa kisiasa ni mdogo sawa na wa huyo shangazi yenu
Hata wasukuma mbona WaPo mpaka Marekani.Wamasai wapo Hadi japani na sio wabantu mkuu ili aonekane mswahili labda angevaa kama wale wa MBEYA wasafwa
Nimekumiss pia mpenzi. Uwahi kurudi nyumbani.Achana nae bebe ujue nimekumis