BET Awards 2021 Los Angeles Marekani, Diamond aangukia Pua

ushamba ni hali ya kutoka shamba (kijijini) maana ya kwanza hii.
 
Ushamba ni kutaka kuiga iga kila linalo fanywa na jirani.kwan hao wa nigeria ndo wa nani ?

Acha ushamba
 
Kumbe ni research yako tena ndogo tu , basi sawa
 
๐“ฃ๐“พ๐“ป๐“ธ๐“ฐ๐“ฎ แ—ทแ—ฉีI ๐—ธ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ แต›โฑแต–โฑ
 
Kwa hiyo sie tunaoshi shamba ndio kusema hatujui lolote kwa mantiki hiyo si ndio? Acheni udwanzi nyie, kukaa shamba na kutokujua chochote vinauhusiano gani... futeni hilo neno shamba apo
 
Acha ushamba kwahiyo ulitaka na wabongo nao tuwaige wanaigeria
 
Siyo swala la Kuwaiga tumekua Na hamasa sana Kwa vitu ambavyo Kwa mataifa mengine ni vitu vya kawaida sana
Mkuu wala usipate shida saana. Sisi ni moja kati ya nchi masikini kabisa duniani, na asilimia kubwa ya nchi yetu ni mashamba! Kwahiyo sisi na ushamba ni kama pipa na mfuniko wala hamna cha kushangaza.
 
Hahaaa uo uongo...
 
Nasikia huko watu wanabishana mpaka maofisini

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ