Kabisa,naijeria ni level zingine kabisa na wanajua mno ndio maana hata mondi kuwekwa kipimo kimoja na wao ni hatua kubwa sana. Burna boy anajua tangu kitambo sana sema watu wamemjua miaka ya hivi karibuni ila binafsi nilimfahamu toka 2009/2010 alipotoaga ngoma ya Like to party na ni bonge la ngoma bongo hadi leo tunasubiri kwa ile ngoma. Sasa huyu maria na akili yake ya kiazi anajua yeye ndo kaweka kigingi kwa mondi