BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

Huamin 🤣🤣🤣 Diamond ni jini
Sasa we utapost vipi kipicha hakina uthibitisho, ishathibitishwa na mdau hapo juu.....ujini gani unaosemea? Si wamepostiwa wote au ni yeye peke yake?
 
That means Diamond ni zezeta namba moja maana aliingiza burudani kwenye siasa, waache wazungumze wanayo haki ya kuandika whatever they want, relax and enjoy the show, this is a fair play
Una akili sana .Anasema usichanganye Burdani na siasa wakati mhusika alichanganya

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Mwambie hata wachezaji huvaa bendera ya nchi fulan kama kuna mzozo wa kisiasa kuonyesha upande anaounga mkono hata hivyo mpira unajitegemea na siasa zinajitegemea , hao wanaharakati wa Twitter wengi wao wameishia la saba au hawajui criteria za Sanaa na hvyo wakaingia mkenge ...Leo hii serikali ikiingilia kibabe maamuz ya TFF yanarayoratibiwa na FIFA , chap Tu kidogo Tanzania inafungiwa michezo ya kimataifa ....jamaa wanajua kwenye siasa kuna nini
 
Sasa we utapost vipi kipicha hakina uthibitisho, ishathibitishwa na mdau hapo juu.....ujini gani unaosemea? Si wamepostiwa wote au ni yeye peke yake?
Mkuu mbna page zote za BET zimempost jamaa , na ameonekana kusupportiwa Sana kuliko nominee mwingine
 
Hashindwi mkuu mpaka sasa anaongoza kwa kura 4000+ huku mpinzani anaemfatia burnaboy akiwa na kura 400+ .
 
Mshindwe kutafuta suluhu za maisha yenu hapa Bongo, mje mtake BET waingilie kati
Kuna njia nyingi za kuonyesha kwamba hamkubaliani na jambo ikiwa ni pamoja na maandamano, kugomea jambo fulani, kutengeneza machapisho nk, hii wanayofanya wanaharakati ni nija moja wapo ya kuelezea hisa zao kwa ulimwengu juu ya utawala ulioacha alama zisizofutika kwa wananchi, na wale wote walioshiriki katika kukandamiza wananchi ndio hao wanaogomewa kama akina daimond, niliwahi ona twitter wanaharakati wakigomea maziwa ya ASAS, kwangu mimi nilichukulia ni jambo dogo sana lakini kuna mdau mmoja wa kiwanda cha ASAS aliniambia ule mwezi waliingiza hasara kubwa sana na walikua wanakaa vikao visivyoisha kutafuta namna ya kudeal na hiyo damage

We should not underate the power of the so called social media au wanaharakati
 
I am not justifying against anyone, actually we should't be botherd by such things, kwangu mimi naona sawa tu maana hata diamond akishinda au asiposhinda it adds nothing to my plate, i was only trying to make it clear kwamba wana haki ya kuamua upande wanaotaka na hatuna sababu kuwa stressed na choices zao.
 
Wewe umeamua kuchukua njia ipi kati ya hizo ulizozitaja?
 
Wewe umeamua kuchukua njia ipi kati ya hizo ulizozitaja?
Mimi sio mdau wa burudani wala mdau wa siasa, lakini naheshimu maamuzi ya kila mmoja, naheshimu pia mawazo yao na njia zao za kupigania haki, penye dhulma sitanyamaza, cha msingi ni kwamba kila mtu anatumia haki yake na uhuru wake sawasawa na katiba bila kupendelea upande wowote
 
So,unaheshimu maamuzi ya Diamond pia sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…