mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
kwa kigogo,lissu na lema sio wapo bet academy?Kwa hyo wao watapga kura?Yap, siyo kila mtu anapiga kura, ni kushindwa kuelewa kwa watu
Hilo silifahamu mkuukwa kigogo,lissu na lema sio wapo bet academy?Kwa hyo wao watapga kura?
KuhaibikaTaarifa za chinichini ni kwamba hicho mnachokiita sijui petition ikiwataka BET Award kumtupa nje D haina mashiko kutokana na utaratibu wao haifungamani.
Soon watu wanakwenda kuhaibika!.
Nahisi kwa chadema mtu yoyote anae sapprt ccm ni adui yao,na wanamuziki wabongo waachane na siasa,wakumbuke Wana mashabiki wa vyama mbalimbaliAu sio.!
Unarudia kutoka nje ya mstari either kwa makusudi au ujinga uliokuzidi kichwa. Mimi nayaheshimu mawazo yake nawasema ninyi kwa unafiki wenu kuhusu sababu za kwa nini aondolewe. Mnahubiri uhuru lakini hamtaki uhuru huo watu wenye mawazo na mitazamo tofauti na ninyi waufurahie. Ungekuwa undumi la kuwili kama ningekwambia usimpe kura msanii unaemtaka alafu me simtaki.
Unarudia kutoka nje ya mstari either kwa makusudi au ujinga uliokuzidi kichwa. Mimi nayaheshimu mawazo yake nawasema ninyi kwa unafiki wenu kuhusu sababu za kwa nini aondolewe. Mnahubiri uhuru lakini hamtaki uhuru huo watu wenye mawazo na mitazamo tofauti na ninyi waufurahie. Ungekuwa undumi la kuwili kama ningekwambia usimpe kura msanii unaemtaka alafu me simtaki.
Mitandao imegeuzwa vijiwe hadi wasomi na waheshimiwa wanavinjari huko kuanika maisha yao halisiMkuu Elmu yetu ipo chini sana ya kiwango . Hayo mambo ya ubishi wa mitandao ni sifa ya Elimu yetu.
Una maana Haki ya Uhuru wa Mawazo au Demokrasia?Ni vizuri kuheshimu maoni na hisia za watu hata kama zinapingana na za kwako, kwa kuwa wewe upo upande wa diamond, haimaanishi kwamba kila mtu atakua upande huo, kama diamond ni mkamilifu na ana qualifications zote za kushinda hiyo award, mimi naamini atashinda hata kama wanaharakati wanampinga, kuweni tu watulivu hakuna haja ya kuwaita wenzenu mazezeta, ndio maana halisi ya demokrasia, kila mmoja ana haki ya kuchagua upande anaoutaka, diamond alikua upande wa ccm wakati wa kampeni, kuna mpinzania alimzuia? Jibu ni hakuna kwa sababu tunaamini kila mtu ana haki ya kuchagua upande anaoupenda
Wafuasi wa diamond wamepanic sijajua kwa nini ila mimi nadhani ingekua vizuri kama mngeonyesha confidence kwa msanii wenu, msitetereshwe na yanayoendelea mtandaoni maana BET wenyewe wana vigezo vyao ambavyo wanavizingatia, kama amekidhi vigezo basi kombe la kwake
Asante sasa maskini wa akili na dini ya utu waendelee kuchambia lipsWakati viumbe wa Twitter wakianzisha kampeni ya kutaka BET wamuengue Diamond kwenye tuzo za mwaka huu kwasababu za kisiasa na wivu binafsi.
BET wenyewe hawana hata muda huo
View attachment 1811531
Unarudia kitu kile kile ambacho nimeshakujibu.Angalia jinsi ulivyo MPUUZI nani alikudanganya humu kuna mistari? Tangu lini? Ulivyo MPUMBAVU eti hukubaliani na huyo domo lakini umeamua kuwa kimya lakini wakati huo huo wale wanaotaka kutumia haki yao kupiga kura watakavyo wewe usiyetaka kuingilia haki ya domo unataka kuingia haki yao!!!
Ni Wapumbavu kama wewe ndiyo wanaoifanya hii Nchi ibaki nyuma kwenye kila sekta muhimu. Kajisemea CAG Assad you are suffering from Acquired Stupidity disease.
Speaking with both sides of your mouth, protecting domo’s freedom to do what he likes to do but at the same time you don’t want to provide the same freedom to those who want to vote against domo.
Marudio.Sababu ziko relevant kabisa kwamba kaunga mkono utawala dhalimu ambao umehusika na maovu mbali mbali ikiwemo bomoa bomoa, kubambikia watu kesi, kuteka watu, kupora Watanzania mabilioni yao kibabe au kwa kesi za kubambikia na kuwaua. Kitu gani usichoelewa kuhusu udhalimu wa dhalimu magufuli na huyo domo kuukumbatia udhalimu huo kwa namna mbali mbali ikiwemo kuwapigia debe na kukaa kimya kuhusu maovu yao!
Kichwa chako cha panzi peleka kwingine siyo humu eti hukubaliani na domo kwa sababu ni haki yake hivyo hutamnyooshea kidole lakini wakati huo huo UNATESEKA kuona wengine wakitumia haki yao. 😳😳😳
Marudio.
Unarudia kitu kile kile ambacho nimeshakujibu.
Nimekuelewa ila hakuna utofauti na ulichoandika mara ya kwanza na majibu niliyokupa. Njoo na hoja mpya hii hoja ya uhuru wa kutoa maoni na haki kuunga mkono chama chochote cha siasa imekuzidi ndomaana unafanya marudio. Hii ni mara ya 4 unacomment kitu kile kile. Kaangalie Kigogo ana hoja gani mpya kuhusu hili mada uje nayoNimesema una kichwa cha panzi huwezi kuelewa nilichoandika.
Nimekuelewa ila hakuna utofauti na ulichoandika mara ya kwanza na majibu niliyokupa. Njoo na hoja mpya hii hoja ya uhuru wa kutoa maoni na haki kuunga mkono chama chochote cha siasa imekuzidi ndomaana unafanya marudio. Hii ni mara ya 4 unacomment kitu kile kile. Kaangalie Kigogo ana hoja gani mpya kuhusu hili mada uje nayo