mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Wanaomuwekea kauzibe domo kisa aliipigia kampeni kijani, wamechemka sana. Kila mtu ana haki ya kikatiba ya kushabikia na kujiunga na chama chochote cha siasa. Na yeye alitumia haki yake ya msingi. Na kigezo cha kutetea udhalimu, mnamuonea tu. Kipindi cha mwendazake kila mtu alifyata mkia.
Kwahiyo mfano Roma anayeikosoa serikali mara kwa mara angepata nafasi hii, mngegomea kura kutoka kwa watu wa ccm?! Mimi simkubali domo, ila Chadema kushabikia huu upuuzi wamejishusha sana. Kuna mambo mengi ya msingi ya kitaifa ya kupigania, sio huu ujinga.