A
Anonymous
Guest
Kuna tatizo katika kampuni hizi za kubet wateja wanalalamika wanatoa hela ila hela kwenye account zinatoka betPawa ila kwenye mitandao ya simu hazifiki, tukiwauliza wanasema tuwasiliane na mtandao husika.
Ukiwasiliana na Mtandao husika wanasema muamala umefeli umerudi kwenye account yako ya betPawa lakini ukienda betPawa hukuti hela.
Kama wameamuwa kututapeli watuambie. Fanyeni uchunguzi kwenye betting za betPawa, ni matapeli.