A
Sababu uliyotoa mkuu ni ya uongo unadhani unaweza kumpiga mhindi sana?Betpawa ni kampuni bora sana kwa hapa Tz.
Wale ukiona mzigo wako haujaupata ujue wanatatizo la kiufundi na mara nyingi siku hiyo wanakuwa wamepigwa sana.
Hivyo wanalipa miamala kidogo kidogo.
Njia nzuri unatoa pesa kidogo kidogo kwenda kwenye akaunti yako.
Nmeandika ambacho nina uhakika nacho.Sababu uliyotoa mkuu ni ya uongo unadhani unaweza kumpiga mhindi sana?
Mkuu samahani nje ya mada, nawezaje kujiunga kwenye hayo ma group!?Nmeandika ambacho nina uhakika nacho.
Betpawa siku akiwa na miamala mingi yakulipa ndio huwa kutoa inasumbua.
Mimi siandiki furahisha genge naandika ambacho nna uhakika nacho.
Kuna msimu Az Alkmaar aliokoa mikeka yetu japo alikuwa kafungwa 2:1 kabla mchezaji hajadondoka mechi ikaahirishwa.
Sasa siku ile Betpawa alipunwa vizuri tu mimi tu nilimla 3mil nilikuwa na mikeka zaidi ya miwili na yote ilitick.
Wale tu niliokuwa nawaona wanadai laki kadhaa,chini ya milioni 3 ni wengi sana maana niko kwenye magroup kadhaa ya mpira.
Betpawa alilipa miamala yote kwa kampuni nyingine alikuwa anafunga ofisi.
Kampuni nyingine angefunga ofisi upo sirias Broo kweli? Hicho kitu hakiwezi kutokea na hakitatokea kwenye kampuni ya betting , kwasababuNmeandika ambacho nina uhakika nacho.
Betpawa siku akiwa na miamala mingi yakulipa ndio huwa kutoa inasumbua.
Mimi siandiki furahisha genge naandika ambacho nna uhakika nacho.
Kuna msimu Az Alkmaar aliokoa mikeka yetu japo alikuwa kafungwa 2:1 kabla mchezaji hajadondoka mechi ikaahirishwa.
Sasa siku ile Betpawa alipunwa vizuri tu mimi tu nilimla 3mil nilikuwa na mikeka zaidi ya miwili na yote ilitick.
Wale tu niliokuwa nawaona wanadai laki kadhaa,chini ya milioni 3 ni wengi sana maana niko kwenye magroup kadhaa ya mpira.
Betpawa alilipa miamala yote kwa kampuni nyingine alikuwa anafunga ofisi.
Hivi kampuni zote za betting anamiliki Muhindi?Kampuni nyingine angefunga ofisi upo sirias Broo kweli? Hicho kitu hakiwezi kutokea na hakitatokea kwenye kampuni ya betting , kwasababu
1. Kampuni za betting zina mitaji mikubwa wewe umesema ulishinda milion 3 lakini unaweza kukuta ninyi wote ushindi wenu haufiki hata bilion mbili
2. Wana njia za ku minimize risk ( Risk management sio rahisi kwa kampuni ya betting kufilisika kama ina wateja wakutosha kama wanashinda wana njia za kutawanya risk na kila mkeka unafwatiliwa na ukimaliza kuweka mkeka kuna wataalam wao na mifumo inayoangalia uwezekano wa mkeka wako kushinda idadi ya mikeka na kiasi cha mwisho unachoweza kushinda.
Kuhusu suala la miamala kusumbua kunapotokea ushindu mwingi lipo lakini sio kwasababu uliyoitoa wewe. Sio kwamba wanakosa pesa za kulipa isipokuwa kwa miongozo ya fedha ya B.O.T miamala ya kifedha kwa siku nchini ina dhibitiwa kuna kiwango cha transaction kwa siku kipo limited inamaana kama washindu mmezidi hicho kiwango miamala inatakiwa kuendelea siku inayofuata na siku nyinginezo kama wanshindi mpo wengi. .. Nyongeza Ukiona unafurahi umeshinda ujue kuna mtu analia amepigwa. Au kiasi ulichoshinda kina nafasi kubwa ya kurudishwa au ulichoshinda ,uliwahi kukipoteza huko huko ,, Mhindi hafilisiki labda akose wateja au ushindani basi
Ni jina tu limezoeleka 🤣 ila nyingi ni wazungu. Kama sijakosea Mhindi wa Mbet bwana Dhiresh kaba Ndie akianza kuvuma kwenye betting inaweza ikawa chanzo cha watu kuwaita wahind ,,Hivi kampuni zote za betting anamiliki Muhindi?
U hali gani hapoHawa nawafumua sana kwenye aviator