Better late than never, CHADEMA anzisheni YouTube Online TV haraka iwezekanavyo

Lazima amseme mtu aliyeharibu,kusema aliyeharibu haimaanishi kwamba hasemi anachokwenda kufanya.
 
Wewe mjinga huoni anachoongea Magufuli mdomoni mwake? Mbona hakatiwi matangazo? Magufuli ni dikteta mbaya na wasaidizi wake wanafanya kumfurahisha period! Acha kutoa hoja za kijinga humu! Magufuli anafanya nchi yetu inadharaulika sana!
 
Acheni ujinga banaa! Rais si anajina?

Mungu tu anatajwa itakuwa huyo Magufuli wenu
 
Wewe mjinga huoni anachoongea Magufuli mdomoni mwake? Mbona hakatiwi matangazo? Magufuli ni dikteta mbaya na wasaidizi wake wanafanya kumfurahisha period! Acha kutoa hoja za kijinga humu! Magufuli anafanya nchi yetu inadharaulika sana!

Naona mnatoka nje ya mada mnaanza kujadili ujinga wangu.

Kwani mimi hata nimemtaja anayetaja watu au mmejipa majibu wenyewe.

Wewe ndiyo unaona nchi inadharaulika...binafsi sijaona hivyo zaidi ya kuona wakimsifia saana.
 
Waoongee na Maria Sarungi maana tayari ana online TV japo imefungiwa kwa sasa. Wakodi vifaa wabadili jina, wajisajili chap.

Ila wasome ile sheria mpya ya habari kwa umakini sana hasa kama channel ikisajiliwa kwa jina la chama, maana TL akiropoka tu anaweza futiwa chama kabla Oct. 28 haijafika.

Ikibidi vipi isajiliwe kwa jina la mtu binafsi ambaye atakuwa amejitoa mhanga kwa lolote lile.
 
Tulieni dawa iwaingie, mbona hapa JF tunapoweka habari za Tanzania kuhusu hatua nzuri iliyofikia kimaendeleo huwa haraka sana mnaziondoa/kubadilisha mawazo ya aliyeweka nk?
Mkuki kwa nguruwe binadamu uchungu. Tutaelewana tu.

CCM -JPM mbele kwa mbele - Hapa kazi tu!
 
Naona mnatoka nje ya mada mnaanza kujadili ujinga wangu.

Kwani mimi hata nimemtaja anayetaja watu au mmejipa majibu wenyewe.

Wewe ndiyo unaona nchi inadharaulika...binafsi sijaona hivyo zaidi ya kuona wakimsifia saana.
Ndiyo maana nasema akili zako ni zero! Endelea kuona wakimsifia. Besides, huyo anayemaifia kama siyo mlamba viatu basi anaogopa udikteta wake!
 
Huyu millard ayo atafute nchi ya kwenda kuanzia November mwaka huu maana huyu mtoto kazidi. Havumiliki tena
Jasho alilotoa mpaka kufikia hapo alipofikia unalijua? Tuache tabia kupangia watu maamuzi yakufanya wakati madhara yake hatuwasaidii kuyabeba.

Kama vipi anzisha chano yako ufanye utakavyo tuone.
 
Jasho alilotoa mpaka kufikia hapo alipofikia unalijua? Tuache tabia kupangia watu maamuzi yakufanya wakati madhara yake hatuwasaidii kuyabeba.

Kama vipi anzisha chano yako ufanye utakavyo tuone.
Unajielewa kweli wewe? Unajua maana ya chombo cha habari au unaharisha tu hapa? Millard siyo mtumishi wa ccm anapaswa kuwa mwandishi huru asiyependelea upande.
 
Sivyo, nataka uelewe nini maana ya siasa.
Hata mgombea wenu anapenda kutajataja upande wa pili sana hadi kututukana! Kama ni mtazamo basi unatakiwa utazame vizuri sio utazame kimakengeza
Sasa soma hapo juu nilichokiandika kisha niambie between you and me who suppose to go back to MMU.

Sijamtaja mgombea anayewataja wengine mwanzo mwisho. Nimetoa general comment ambayo inaweza hata kumhusu mgombe ubunge anayewataja wagombea wengine pasipo kunadi sera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…