Better late than never, CHADEMA anzisheni YouTube Online TV haraka iwezekanavyo

Anatekeleza maagizo kutoka juu, kodi tunalipa sawa lkn linapo kuja suala la kugawana keki ya taifa wanatazama nani kavaa nini!
Ila Hassan Abbas atalipia huu ushenzi anaofanya. Lazima tuseme naye! Na ili heshima iwepo tutaanza naye na kumbuka kuwa tumeshajiapiza kufa na kila muhuni!
 
Hayo magari hata mimi naona hayakufaa.
Ilitakiwa wanunua mativii yale makubwaaaa kama mabango. Yanatembea sehemu mbali mbali nchini Tanzania. Zinakuwa zinaonesha hotuba live au zilizo rekodiwa zenye sera za mgombea. Pia inabidi mgombea aingie studio kurekodi audio juu ya sera zake. Iwe fupi tu kisha watu watumiane kwenye mitandao. Pia kwa yale mafekelo yetu ya kichina hiyo hotuba inawekwa kwenye memory card halafu watu wanatumiana kwa bluetooth. Hii itasaidia kwa vijijini na maeneo ambapo mgombea hatafika.



NB: hiyo hotuba ihoji juu ya 50m kila kijiji. Yaani hiyo audio ni maalum kutia spana.
 

TCRA wanao uwezo wa kuifunga na isionekane nchini!
 
ID yako inanifanya nisiendelee kukubishia maana najua kuwa huna ujuwalo
Baada ya watu kukosekana Dodoma pamoja na kuhamasishana nchi nzima kwenda Dom, sasa lawama ni kwa vyombo vya habari
 

..but ccm this time wamewekeza ktk kumkashifu TL.

..mimi nadhani kampeni hizi ccm watatukana kuliko chama chochote, na kampeni zozote zilizowahi kutokea hapa Tz.
 
TCRA wanao uwezo wa kuifunga na isionekane nchini!
Tcra hawana uwezo wa kufungia channel yoyote youtube iliyo nje ya nchi. Labda kublock youtube nzimanzima kama china au kuzima internet.

Wakifanya hivyo inaweza kuwaathiri hata ccm maana wanategemea mitandao pia kwenye kampeni.
Pia watu wanaotumia mitandao wanaweza kukasirishwa juu ya suala hilo na kuamua kuwapa kura wapinzani.
Nadhani umenielewa.
 
..but ccm this time wamewekeza ktk kumkashifu TL.

..mimi nadhani kampeni hizi ccm watatukana kuliko chama chochote, na kampeni zozote zilizowahi kutokea hapa Tz.
Wazee wenye busara wa kusema walau ishia hapo hawapo tena vyamani.

Afadhali Mbowe ana busara. Huku Polepole kule Lema....vurugu tupu.
 
[emoji1534][emoji1534][emoji1534]$20 IMO mkononi

Jr[emoji769]
 
Kuna mgombea yeyote yule anayetabirika kuhusu kila neno atakalolisema?! Mtaje!

Kuna sheria inayomtaka mgombea atabirike kwanza kwa kila atakachokisema ndio apewe live coverage?!
 
Kuna uchaguzi mbona ukiiba hadi unaona aibu.Yaani unashindwa vibaya mno mpaka kuiba hauwezi. Au wahesabu live kama walivyofanya kura za maoni CCM.
Walioweza mataifa mengine walifanyia kazi tume huru, tume isiyofungamana na serikali. Leo hii Magu(raisi wa nchi) anateua kila kitu ndani ya nchi, kila mtu anapitia kwake. Kwa moto uliokuwepo 2015 usingetegemea CCM kushinda, naamini hawakushinda. Lakini vote rigging made them winners. Sasa bisha then October 28th utanikubalia tu...
 
Ila jamani ni kwa nn chadema hawaanzishi media yao? Kuna nn, ina maana hili suala siyo kipaumbele chao? Miaka nenda miaka rudi wananyanyaswa wapo tu. Any way kwao ni sawa tu,Sasa wasilalamike .
 
Tungekuwa Upper Middle Income labda ingewezekana.

Idadi ya Watanzania wenye devices zenye access na YouTube na uwezo wa bundle ya ku-stream hotuba ni ndogo mno tena wengi wana maamuzi yao tayari.

Kundi muhimu Ni huko vijijini ambako wengi wana TECNO tena feature phones wana-peruse Fb kwa freebasics.

The method is not reliable!
 
Wazee wenye busara wa kusema walau ishia hapo hawapo tena vyamani.

Afadhali Mbowe ana busara. Huku Polepole kule Lema....vurugu tupu.
Lema hana shida na mtu! Inaonekana siasa huzifuatilii.
 
Kwani si kaongea Lissu ?Kama kukamatwa si atakamatwa Lissu ?Au na wanaorusha hayo yaliyosemwa ni wana makosa pia ?
 
Baada ya watu kukosekana Dodoma pamoja na kuhamasishana nchi nzima kwenda Dom, sasa lawama ni kwa vyombo vya habari

Kama vile sauti haikuzibwa tokea Lisu alipoanza kuhutubia huku Dar es Salaam ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…