Betting addiction inanipotezea utulivu kabisa

Betting haina tofauti na kuvuta fegi!
Pole, acha mdau.
 
Unaelekea pazuri umevuka stage ya kwanza "Kukubali hali halisi" - Acceptance.

Tafuta mwanasaikolojia sasa mana upo sehemu nzuri - kuna wenzako hawataki kabisa kukubali kama wanakosea.
Ni kweli amekubali na anataka ushauri ndo maana tunamshauri, we just imagine ujipitishe kwenye ule uzi wa WENZANGU WA KUWEKA MIZIGO, KARIBU TUBASHIRI MECHI ZA LEO utoe ushauri si watakutukana na kukushtaki kwa mods kwamba we ndo umewatukana..
 
Ni kweli amekubali na anataka ushauri ndo maana tunamshauri, we just imagine ujipitishe kwenye ule uzi wa WENZANGU WA KUWEKA MIZIGO, KARIBU TUBASHIRI MECHI ZA LEO utoe ushauri si watakutukana na kukushtaki kwa mods kwamba we ndo umewatukana..
Duuuh hatari sana kaka.
 
Kutoka Feb mpaka tarehe 10 mwezi huu..

Kiasi nilichodeposit 789000
Kiasi nilichokula... 582000...
Mambo ni mazito nmejaribu kutuliza wenge kwanza
 
Mkuu, kwanza pole sana kwa yaliyo kusibu. Kwanza hongera sana kwa kuamua japo kamali ina uraibu fulani, unaweza sema hii ya mwisho and still ukipata hela kidogo unarudi kulekule kwa kauli ya (hii ya mwisho) ๐Ÿ˜‚
Ushauri wangu
๐Ÿ“ŒTafuta mbadala wa kazi ili iwe ina kuweka busy alot of time.
๐Ÿ“ Weka malengo ya kuirudisha hela uliyopoteza kwa njia nyingine NOT BETTING
๐Ÿ“Tafuta sehemu tulivu Then anza kuwaza how ulivyo anza and how ilivyo kusababishia matatizo pia matatizo yote mabaya uwe unaitupia betting, hii itasaidia kuichukia betting automatically.
๐Ÿ“ Fanya meditation, ili kupunguza stress, fanya zile simple meditation I.e (kuhesabu namba kinyumenyume, 100,99,98,97..............2,1,0.
๐Ÿ“. Weka imani kuwa hela hiyo iliyopotea ni just umemkopesha mtu na soon you will be able to have it, hii itasaidia kukufanya uwe Calm.
Kila kheri ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ
 
Tatizo mkuu unacheza michezo ya kompyuta kama robot.. yaani apo kuliwa ni nje nje.Cheza mpira kama EPL,LA LIGA au Tennes ..achana na spin mkuu
 
Tuko na ww mpka urudishe hasara yote uliyopata na kumpiga kanjibai na kitu kizito mpka arudishwe new Delhi kwenye kilimo cha pilipili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ