Betting hadi katika mabadiliko ya nafasi za viongozi, Wizara, Mkoa na Wilaya.

Betting hadi katika mabadiliko ya nafasi za viongozi, Wizara, Mkoa na Wilaya.

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,033
Reaction score
895
Nimeshuhudia jamaa waki-bet kuwa ndani ya siku 100 kutoka Mosi Oktoba, yatafanyika mabadiliko ya viongozi kutoka Wizara moja kwenda nyingine, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya.

Endapo atafanya mabadiliko kwenye Wizara atatoa fungu lake, na kama atabadilisha mkuu wa mkoa kuna fungu lake, pia akiteuwa mkuu wa wilaya hapo kuna fungu lake.
 
Sawa.Ila,kusiwe na upangaji matokeo mkala hela za watu walizozipata kwa kuuza mifugo yao michache iliyobaki.
 
Back
Top Bottom