Betting ilivyokwenda na milion moja yangu

Mturutumbi255

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2024
Posts
200
Reaction score
420
Wakati fulani miaka kadhaa iliyopita, niliweka dau langu kubwa zaidi kwenye betting 1,000,000 TZS kwenye option ya draw kwenye mechi tatu tofauti.

Nilijiamini sana kwamba hii ilikuwa tiketi yangu ya ushindi mkubwa. Mechi mbili zilitoka tofauti kabisa na nilivyotarajia, na ndani ya dakika chache, mkeka wangu wote ulikuwa umetoweka. Hilo lilikuwa pigo kubwa si kwa sababu tu ya kupoteza pesa nyingi, bali pia kwa sababu ya hisia za kutokuwa na uwezo wa kudhibiti matokeo.
FB_IMG_1728830858234.jpg

Lakini unajua nini? Nilijifunza kitu kikubwa siku hiyo.

Potevu la pesa halikuwa mwisho wa safari yangu. Hakuna aliyeanza kufanikiwa kwenye betting bila kupitia changamoto kama hizi. Hii ni sehemu ya mchezo, na jambo muhimu ni jinsi unavyojifunza kutokana na kila dau – la kushinda na la kupoteza.

Baada ya tukio hilo, nilijifunza kuwa NIDHAMU ni kila kitu. Nilianza kubeti kwa mipango, kutumia pesa ambazo nimezipanga kwa ajili ya burudani, na si kwa shinikizo. Pia, niliweka malengo ya muda mrefu na kuepuka kurudia makosa yale yale.

Wengi wetu tunapitia hali kama hizi lakini kama wewe unavyofahamu, hatujifunzi kwa kushinda pekee. Tunakua kwa kushindwa. Kila tiketi inayochanika inatufundisha jambo jipya.

🔑 Somo: Betting siyo njia ya kupata pesa haraka inahitaji uelewa, mipango, na nidhamu. Ukiweka bidii na ukajifunza kutokana na makosa yako, utapata mafanikio ya muda mrefu.

Soma Pia: Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Kwa hiyo, ushindi na hasara ni sehemu ya safari yetu. Jifunze kutokana na kila hatua, na hakikisha unakuwa na mtazamo wa muda mrefu. Hata wakati unaposhindwa, bado unakuwa mshindi kama unajifunza kitu kipya.

Je, wewe una stori yako ya kupoteza au kushinda? Hebu tushirikishe hapa!

Updates Nimesoma comment nyingi zinadai kuwa yawezekana niliuziwa Mechi na wale jamaa wa Fixed,naomba niwajibu hapa sijawai kufanya huo upuuzi iko hivi nimeanza kubet miaka sio mengi wakati wa kombe la dunia linacheza kitu ambacho kilinifanya niweke Milioni tayari nilikuwa nimeshakula zaidi ya Milioni 6 kwa siku 2 tu tena kwa option ya draw kipindi hicho kampuni ya Gwala Bet inaanza wenzangu na mimi nadhani mnakumbuka Gwala Bet ilikuwa inatoa 500 Free bet kila siku.

Nikaona hawa wazee wana kiasi kidogo cha ushindi 20M max,acha niende betpawa nikazipige hela sio kwamba nilikurupuka hapana kawaida uwa nina strategy zangu kwenye draw haikuwa bahati ila baada ya muda si mrefu niliirudisha kwa option ya draw pia.

Hadi mtaa wakaniita Mturutumbi maana ili sio jina langu harisi ila niwambie tu bet sio nzuri maana kuna muda mambo yanagoma kabisa
 
Wakati fulani miaka kadhaa iliyopita, niliweka dau langu kubwa zaidi kwenye betting 1,000,000 TZS kwenye option ya draw kwenye mechi tatu tofauti.

Nilijiamini sana kwamba hii ilikuwa tiketi yangu ya ushindi mkubwa. Mechi mbili zilitoka tofauti kabisa na nilivyotarajia, na ndani ya dakika chache, mkeka wangu wote ulikuwa umetoweka. Hilo lilikuwa pigo kubwa si kwa sababu tu ya kupoteza pesa nyingi, bali pia kwa sababu ya hisia za kutokuwa na uwezo wa kudhibiti matokeo.View attachment 3123834

Lakini unajua nini? Nilijifunza kitu kikubwa siku hiyo.

Potevu la pesa halikuwa mwisho wa safari yangu. Hakuna aliyeanza kufanikiwa kwenye betting bila kupitia changamoto kama hizi. Hii ni sehemu ya mchezo, na jambo muhimu ni jinsi unavyojifunza kutokana na kila dau – la kushinda na la kupoteza.

Baada ya tukio hilo, nilijifunza kuwa NIDHAMU ni kila kitu. Nilianza kubeti kwa mipango, kutumia pesa ambazo nimezipanga kwa ajili ya burudani, na si kwa shinikizo. Pia, niliweka malengo ya muda mrefu na kuepuka kurudia makosa yale yale.

Wengi wetu tunapitia hali kama hizi lakini kama wewe unavyofahamu, hatujifunzi kwa kushinda pekee. Tunakua kwa kushindwa. Kila tiketi inayochanika inatufundisha jambo jipya.

🔑 Somo: Betting siyo njia ya kupata pesa haraka inahitaji uelewa, mipango, na nidhamu. Ukiweka bidii na ukajifunza kutokana na makosa yako, utapata mafanikio ya muda mrefu.

Soma Pia: Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Kwa hiyo, ushindi na hasara ni sehemu ya safari yetu. Jifunze kutokana na kila hatua, na hakikisha unakuwa na mtazamo wa muda mrefu. Hata wakati unaposhindwa, bado unakuwa mshindi kama unajifunza kitu kipya.

Je, wewe una stori yako ya kupoteza au kushinda? Hebu tushirikishe hapa!
Wewe ni mkomavu ktk suala nzima la KAMARI, na co vibaya nikimalizia kwa kusema: ww ni mfano nzuri wa kuigwa kwa wanaopenda na wasiopenda kucheza KAMARI.
 
Kamali ni mungu katili sana
Betting na Forex ina hitaji mtu mbishi , asiye na tamaa na mwenye uwezo wa kujicontrol.

Jambo ambalo nimejifunza kwenye forex na betting ni lazima uwe na ivitu.

1. Skill
2.stratergy
3.Technique

Betting is a skillfull game na kama kuna bahati n 10% tu .
Sifa uvumilivu.

Chukua hii : Betting na forex sio ya kila mtu
 
Sema mwamba aidha ndio ulikuwa unaanza bet au ulikuwa mkomavu maana kama kwa dau hiyo unachagua opt ya odds 3+ na 5+ hakika unahitaj maua yako % kubwa ya wanakamaria ukiwa na dau kuanzia 500k odds haizidi 3 sasa wewe una ml 1 afu total odds 76 duh!
 
Nahisi atakua aliuziwa mechi akaambiwa ziko fixed😆 huwezi weka draw game 3 afu utie milioni.
 
Wakati fulani miaka kadhaa iliyopita, niliweka dau langu kubwa zaidi kwenye betting 1,000,000 TZS kwenye option ya draw kwenye mechi tatu tofauti.

Nilijiamini sana kwamba hii ilikuwa tiketi yangu ya ushindi mkubwa. Mechi mbili zilitoka tofauti kabisa na nilivyotarajia, na ndani ya dakika chache, mkeka wangu wote ulikuwa umetoweka. Hilo lilikuwa pigo kubwa si kwa sababu tu ya kupoteza pesa nyingi, bali pia kwa sababu ya hisia za kutokuwa na uwezo wa kudhibiti matokeo.View attachment 3123834

Lakini unajua nini? Nilijifunza kitu kikubwa siku hiyo.

Potevu la pesa halikuwa mwisho wa safari yangu. Hakuna aliyeanza kufanikiwa kwenye betting bila kupitia changamoto kama hizi. Hii ni sehemu ya mchezo, na jambo muhimu ni jinsi unavyojifunza kutokana na kila dau – la kushinda na la kupoteza.

Baada ya tukio hilo, nilijifunza kuwa NIDHAMU ni kila kitu. Nilianza kubeti kwa mipango, kutumia pesa ambazo nimezipanga kwa ajili ya burudani, na si kwa shinikizo. Pia, niliweka malengo ya muda mrefu na kuepuka kurudia makosa yale yale.

Wengi wetu tunapitia hali kama hizi lakini kama wewe unavyofahamu, hatujifunzi kwa kushinda pekee. Tunakua kwa kushindwa. Kila tiketi inayochanika inatufundisha jambo jipya.

🔑 Somo: Betting siyo njia ya kupata pesa haraka inahitaji uelewa, mipango, na nidhamu. Ukiweka bidii na ukajifunza kutokana na makosa yako, utapata mafanikio ya muda mrefu.

Soma Pia: Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Kwa hiyo, ushindi na hasara ni sehemu ya safari yetu. Jifunze kutokana na kila hatua, na hakikisha unakuwa na mtazamo wa muda mrefu. Hata wakati unaposhindwa, bado unakuwa mshindi kama unajifunza kitu kipya.

Je, wewe una stori yako ya kupoteza au kushinda? Hebu tushirikishe hapa!
Hapa ulipigwa kamba na wale jamaa wa Match Fixing, mhindi amewamwaga mwengi wanamuongezea mauzo wakidanganya watu ni fixed matches.
 
Umenikumbusha mbali sana enzi izo ni mkamaria mpuuzi sana, nilipata somo kubwa sana kwenye kamari saiv nacheza kamari for fun na dau langu halizidi 10k

Izi screenshots ni kabla sijahama Sportpesa, huko kuna siku nilipigwa 500k asubuhi jioni nikastake tena 500k ili nikomboe hasara pia nikalose nikaamua kufuta akaunti for good mambo yasiwe mengi.

Kama huwezi kuacha kamari kama mimi you better bet for fun
 
Attachments

  • Screenshot_20241013-203401.png
    Screenshot_20241013-203401.png
    258.1 KB · Views: 11
  • Screenshot_20241013-203330.png
    Screenshot_20241013-203330.png
    280.4 KB · Views: 33
  • Screenshot_20241013-203315.png
    Screenshot_20241013-203315.png
    346.4 KB · Views: 24
  • Screenshot_20241013-203142.png
    Screenshot_20241013-203142.png
    348.1 KB · Views: 19
  • Screenshot_20241013-202828.png
    Screenshot_20241013-202828.png
    259.7 KB · Views: 21
Back
Top Bottom