Mturutumbi255
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 200
- 420
- Thread starter
- #41
Ulitaka kuwa Bakheresa for one night shoot..😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka kuwa Bakheresa for one night shoot..😂
PumbavuWakati fulani miaka kadhaa iliyopita, niliweka dau langu kubwa zaidi kwenye betting 1,000,000 TZS kwenye option ya draw kwenye mechi tatu tofauti.
Nilijiamini sana kwamba hii ilikuwa tiketi yangu ya ushindi mkubwa. Mechi mbili zilitoka tofauti kabisa na nilivyotarajia, na ndani ya dakika chache, mkeka wangu wote ulikuwa umetoweka. Hilo lilikuwa pigo kubwa si kwa sababu tu ya kupoteza pesa nyingi, bali pia kwa sababu ya hisia za kutokuwa na uwezo wa kudhibiti matokeo.View attachment 3123834
Lakini unajua nini? Nilijifunza kitu kikubwa siku hiyo.
Potevu la pesa halikuwa mwisho wa safari yangu. Hakuna aliyeanza kufanikiwa kwenye betting bila kupitia changamoto kama hizi. Hii ni sehemu ya mchezo, na jambo muhimu ni jinsi unavyojifunza kutokana na kila dau – la kushinda na la kupoteza.
Baada ya tukio hilo, nilijifunza kuwa NIDHAMU ni kila kitu. Nilianza kubeti kwa mipango, kutumia pesa ambazo nimezipanga kwa ajili ya burudani, na si kwa shinikizo. Pia, niliweka malengo ya muda mrefu na kuepuka kurudia makosa yale yale.
Wengi wetu tunapitia hali kama hizi lakini kama wewe unavyofahamu, hatujifunzi kwa kushinda pekee. Tunakua kwa kushindwa. Kila tiketi inayochanika inatufundisha jambo jipya.
🔑 Somo: Betting siyo njia ya kupata pesa haraka inahitaji uelewa, mipango, na nidhamu. Ukiweka bidii na ukajifunza kutokana na makosa yako, utapata mafanikio ya muda mrefu.
Soma Pia: Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!
Kwa hiyo, ushindi na hasara ni sehemu ya safari yetu. Jifunze kutokana na kila hatua, na hakikisha unakuwa na mtazamo wa muda mrefu. Hata wakati unaposhindwa, bado unakuwa mshindi kama unajifunza kitu kipya.
Je, wewe una stori yako ya kupoteza au kushinda? Hebu tushirikishe hapa!
Updates Nimesoma comment nyingi zinadai kuwa yawezekana niliuziwa Mechi na wale jamaa wa Fixed,naomba niwajibu hapa sijawai kufanya huo upuuzi iko hivi nimeanza kubet miaka sio mengi wakati wa kombe la dunia linacheza kitu ambacho kilinifanya niweke Milioni tayari nilikuwa nimeshakula zaidi ya Milioni 6 kwa siku 2 tu tena kwa option ya draw kipindi hicho kampuni ya Gwala Bet inaanza wenzangu na mimi nadhani mnakumbuka Gwala Bet ilikuwa inatoa 500 Free bet kila siku.
Nikaona hawa wazee wana kiasi kidogo cha ushindi 20M max,acha niende betpawa nikazipige hela sio kwamba nilikurupuka hapana kawaida uwa nina strategy zangu kwenye draw haikuwa bahati ila baada ya muda si mrefu niliirudisha kwa option ya draw pia.
Hadi mtaa wakaniita Mturutumbi maana ili sio jina langu harisi ila niwambie tu bet sio nzuri maana kuna muda mambo yanagoma kabisa
Tahadhari...mechi baada ya international break huwa ina matokeo ya kushangaza sanaNina mpango wa kuweka 1mil. Ninachambua mechi kabla ya kuanza na ninaibetia ikifika dala ya 80 pale odds imebaki 0.01 ili niweze kupata faida ya 8000 ktk stake ya 500K kwa mechi moja,
aliaminishwa na wazee wa fixed 😄😄Nahisi atakua aliuziwa mechi akaambiwa ziko fixed😆 huwezi weka draw game 3 afu utie milioni.
Nimechelewa kusoma huu uzi hata sjaumlza nilivoona tuh hio slip nkajua unawenge kichwan ila nkuambie kitu tamaa mbaya betting haiendi hvyo ulivyodhani 3 draw? 😂😅 Kama una mtaj njoo camp mrus empire tfuta lnkWakati fulani miaka kadhaa iliyopita, niliweka dau langu kubwa zaidi kwenye betting 1,000,000 TZS kwenye option ya draw kwenye mechi tatu tofauti.
Nilijiamini sana kwamba hii ilikuwa tiketi yangu ya ushindi mkubwa. Mechi mbili zilitoka tofauti kabisa na nilivyotarajia, na ndani ya dakika chache, mkeka wangu wote ulikuwa umetoweka. Hilo lilikuwa pigo kubwa si kwa sababu tu ya kupoteza pesa nyingi, bali pia kwa sababu ya hisia za kutokuwa na uwezo wa kudhibiti matokeo.View attachment 3123834
Lakini unajua nini? Nilijifunza kitu kikubwa siku hiyo.
Potevu la pesa halikuwa mwisho wa safari yangu. Hakuna aliyeanza kufanikiwa kwenye betting bila kupitia changamoto kama hizi. Hii ni sehemu ya mchezo, na jambo muhimu ni jinsi unavyojifunza kutokana na kila dau – la kushinda na la kupoteza.
Baada ya tukio hilo, nilijifunza kuwa NIDHAMU ni kila kitu. Nilianza kubeti kwa mipango, kutumia pesa ambazo nimezipanga kwa ajili ya burudani, na si kwa shinikizo. Pia, niliweka malengo ya muda mrefu na kuepuka kurudia makosa yale yale.
Wengi wetu tunapitia hali kama hizi lakini kama wewe unavyofahamu, hatujifunzi kwa kushinda pekee. Tunakua kwa kushindwa. Kila tiketi inayochanika inatufundisha jambo jipya.
🔑 Somo: Betting siyo njia ya kupata pesa haraka inahitaji uelewa, mipango, na nidhamu. Ukiweka bidii na ukajifunza kutokana na makosa yako, utapata mafanikio ya muda mrefu.
Soma Pia: Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!
Kwa hiyo, ushindi na hasara ni sehemu ya safari yetu. Jifunze kutokana na kila hatua, na hakikisha unakuwa na mtazamo wa muda mrefu. Hata wakati unaposhindwa, bado unakuwa mshindi kama unajifunza kitu kipya.
Je, wewe una stori yako ya kupoteza au kushinda? Hebu tushirikishe hapa!
Updates Nimesoma comment nyingi zinadai kuwa yawezekana niliuziwa Mechi na wale jamaa wa Fixed,naomba niwajibu hapa sijawai kufanya huo upuuzi iko hivi nimeanza kubet miaka sio mengi wakati wa kombe la dunia linacheza kitu ambacho kilinifanya niweke Milioni tayari nilikuwa nimeshakula zaidi ya Milioni 6 kwa siku 2 tu tena kwa option ya draw kipindi hicho kampuni ya Gwala Bet inaanza wenzangu na mimi nadhani mnakumbuka Gwala Bet ilikuwa inatoa 500 Free bet kila siku.
Nikaona hawa wazee wana kiasi kidogo cha ushindi 20M max,acha niende betpawa nikazipige hela sio kwamba nilikurupuka hapana kawaida uwa nina strategy zangu kwenye draw haikuwa bahati ila baada ya muda si mrefu niliirudisha kwa option ya draw pia.
Hadi mtaa wakaniita Mturutumbi maana ili sio jina langu harisi ila niwambie tu bet sio nzuri maana kuna muda mambo yanagoma kabisa
hata hayo magroup ya odd ni usless kabisa ,bora kustake katika hicia unazoamini ....Nimechelewa kusoma huu uzi hata sjaumlza nilivoona tuh hio slip nkajua unawenge kichwan ila nkuambie kitu tamaa mbaya betting haiendi hvyo ulivyodhani 3 draw? 😂😅 Kama una mtaj njoo camp mrus empire tfuta lnk
Hapo kwenye uvumilivu ndio umemaliza kila kitu. Unaweza kuwa na skill, techs na tacts za kutosha ila ukawa na haraka ya kuzipata pesa za betting. Ukajikuta unaongeza option za kupoteza badala ya kupata.Kamali ni mungu katili sana
Betting na Forex ina hitaji mtu mbishi , asiye na tamaa na mwenye uwezo wa kujicontrol.
Jambo ambalo nimejifunza kwenye forex na betting ni lazima uwe na ivitu.
1. Skill
2.stratergy
3.Technique
Betting is a skillfull game na kama kuna bahati n 10% tu .
Sifa uvumilivu.
Chukua hii : Betting na forex sio ya kila mtu
Jana nimempiga 51k Kwa stake ya 2k tu. Asanteni sana man UTD.Wakati fulani miaka kadhaa iliyopita, niliweka dau langu kubwa zaidi kwenye betting 1,000,000 TZS kwenye option ya draw kwenye mechi tatu tofauti.
Nilijiamini sana kwamba hii ilikuwa tiketi yangu ya ushindi mkubwa. Mechi mbili zilitoka tofauti kabisa na nilivyotarajia, na ndani ya dakika chache, mkeka wangu wote ulikuwa umetoweka. Hilo lilikuwa pigo kubwa si kwa sababu tu ya kupoteza pesa nyingi, bali pia kwa sababu ya hisia za kutokuwa na uwezo wa kudhibiti matokeo.View attachment 3123834
Lakini unajua nini? Nilijifunza kitu kikubwa siku hiyo.
Potevu la pesa halikuwa mwisho wa safari yangu. Hakuna aliyeanza kufanikiwa kwenye betting bila kupitia changamoto kama hizi. Hii ni sehemu ya mchezo, na jambo muhimu ni jinsi unavyojifunza kutokana na kila dau – la kushinda na la kupoteza.
Baada ya tukio hilo, nilijifunza kuwa NIDHAMU ni kila kitu. Nilianza kubeti kwa mipango, kutumia pesa ambazo nimezipanga kwa ajili ya burudani, na si kwa shinikizo. Pia, niliweka malengo ya muda mrefu na kuepuka kurudia makosa yale yale.
Wengi wetu tunapitia hali kama hizi lakini kama wewe unavyofahamu, hatujifunzi kwa kushinda pekee. Tunakua kwa kushindwa. Kila tiketi inayochanika inatufundisha jambo jipya.
🔑 Somo: Betting siyo njia ya kupata pesa haraka inahitaji uelewa, mipango, na nidhamu. Ukiweka bidii na ukajifunza kutokana na makosa yako, utapata mafanikio ya muda mrefu.
Soma Pia: Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!
Kwa hiyo, ushindi na hasara ni sehemu ya safari yetu. Jifunze kutokana na kila hatua, na hakikisha unakuwa na mtazamo wa muda mrefu. Hata wakati unaposhindwa, bado unakuwa mshindi kama unajifunza kitu kipya.
Je, wewe una stori yako ya kupoteza au kushinda? Hebu tushirikishe hapa!
Updates Nimesoma comment nyingi zinadai kuwa yawezekana niliuziwa Mechi na wale jamaa wa Fixed,naomba niwajibu hapa sijawai kufanya huo upuuzi iko hivi nimeanza kubet miaka sio mengi wakati wa kombe la dunia linacheza kitu ambacho kilinifanya niweke Milioni tayari nilikuwa nimeshakula zaidi ya Milioni 6 kwa siku 2 tu tena kwa option ya draw kipindi hicho kampuni ya Gwala Bet inaanza wenzangu na mimi nadhani mnakumbuka Gwala Bet ilikuwa inatoa 500 Free bet kila siku.
Nikaona hawa wazee wana kiasi kidogo cha ushindi 20M max,acha niende betpawa nikazipige hela sio kwamba nilikurupuka hapana kawaida uwa nina strategy zangu kwenye draw haikuwa bahati ila baada ya muda si mrefu niliirudisha kwa option ya draw pia.
Hadi mtaa wakaniita Mturutumbi maana ili sio jina langu harisi ila niwambie tu bet sio nzuri maana kuna muda mambo yanagoma kabisa
Ukicheza kizembe Mimi walinipiga 300k nikachukia nikadeposit 500k kwa hasira nikamsaka kwenye Aviator , nikapata 970k nikacheza ikarudi 912k nikaondoka zangu😃Umenikumbusha mbali sana enzi izo ni mkamaria mpuuzi sana, nilipata somo kubwa sana kwenye kamari saiv nacheza kamari for fun na dau langu halizidi 10k
Izi screenshots ni kabla sijahama Sportpesa, huko kuna siku nilipigwa 500k asubuhi jioni nikastake tena 500k ili nikomboe hasara pia nikalose nikaamua kufuta akaunti for good mambo yasiwe mengi.
Kama huwezi kuacha kamari kama mimi you better bet for fun
Nina mpango wa kuweka 1mil. Ninachambua mechi kabla ya kuanza na ninaibetia ikifika dala ya 80 pale odds imebaki 0.01 ili niweze kupata faida ya 8000 ktk stake ya 500K kwa mechi moja,
Kwenye betting ni fedha za wajinga huliwa na werevu.Kamali ni mungu katili sana
Betting na Forex ina hitaji mtu mbishi , asiye na tamaa na mwenye uwezo wa kujicontrol.
Jambo ambalo nimejifunza kwenye forex na betting ni lazima uwe na ivitu.
1. Skill
2.stratergy
3.Technique
Betting is a skillfull game na kama kuna bahati n 10% tu .
Sifa uvumilivu.
Chukua hii : Betting na forex sio ya kila mtu
Acha kutupiga ndoige bhn…. Km umeweza kupost kipigo ulichokula, umeshindwa vp kuposti huo mkeka wa m.6 uliompiga mhindi?Wakati fulani miaka kadhaa iliyopita, niliweka dau langu kubwa zaidi kwenye betting 1,000,000 TZS kwenye option ya draw kwenye mechi tatu tofauti.
Nilijiamini sana kwamba hii ilikuwa tiketi yangu ya ushindi mkubwa. Mechi mbili zilitoka tofauti kabisa na nilivyotarajia, na ndani ya dakika chache, mkeka wangu wote ulikuwa umetoweka. Hilo lilikuwa pigo kubwa si kwa sababu tu ya kupoteza pesa nyingi, bali pia kwa sababu ya hisia za kutokuwa na uwezo wa kudhibiti matokeo.View attachment 3123834
Lakini unajua nini? Nilijifunza kitu kikubwa siku hiyo.
Potevu la pesa halikuwa mwisho wa safari yangu. Hakuna aliyeanza kufanikiwa kwenye betting bila kupitia changamoto kama hizi. Hii ni sehemu ya mchezo, na jambo muhimu ni jinsi unavyojifunza kutokana na kila dau – la kushinda na la kupoteza.
Baada ya tukio hilo, nilijifunza kuwa NIDHAMU ni kila kitu. Nilianza kubeti kwa mipango, kutumia pesa ambazo nimezipanga kwa ajili ya burudani, na si kwa shinikizo. Pia, niliweka malengo ya muda mrefu na kuepuka kurudia makosa yale yale.
Wengi wetu tunapitia hali kama hizi lakini kama wewe unavyofahamu, hatujifunzi kwa kushinda pekee. Tunakua kwa kushindwa. Kila tiketi inayochanika inatufundisha jambo jipya.
🔑 Somo: Betting siyo njia ya kupata pesa haraka inahitaji uelewa, mipango, na nidhamu. Ukiweka bidii na ukajifunza kutokana na makosa yako, utapata mafanikio ya muda mrefu.
Soma Pia: Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!
Kwa hiyo, ushindi na hasara ni sehemu ya safari yetu. Jifunze kutokana na kila hatua, na hakikisha unakuwa na mtazamo wa muda mrefu. Hata wakati unaposhindwa, bado unakuwa mshindi kama unajifunza kitu kipya.
Je, wewe una stori yako ya kupoteza au kushinda? Hebu tushirikishe hapa!
Updates Nimesoma comment nyingi zinadai kuwa yawezekana niliuziwa Mechi na wale jamaa wa Fixed,naomba niwajibu hapa sijawai kufanya huo upuuzi iko hivi nimeanza kubet miaka sio mengi wakati wa kombe la dunia linacheza kitu ambacho kilinifanya niweke Milioni tayari nilikuwa nimeshakula zaidi ya Milioni 6 kwa siku 2 tu tena kwa option ya draw kipindi hicho kampuni ya Gwala Bet inaanza wenzangu na mimi nadhani mnakumbuka Gwala Bet ilikuwa inatoa 500 Free bet kila siku.
Nikaona hawa wazee wana kiasi kidogo cha ushindi 20M max,acha niende betpawa nikazipige hela sio kwamba nilikurupuka hapana kawaida uwa nina strategy zangu kwenye draw haikuwa bahati ila baada ya muda si mrefu niliirudisha kwa option ya draw pia.
Hadi mtaa wakaniita Mturutumbi maana ili sio jina langu harisi ila niwambie tu bet sio nzuri maana kuna muda mambo yanagoma kabisa
Hakuna cha skills wala strategic, makampuni tuu ya kupredict ambao wanafanya critical analyize ya match hisika wanakula za uso…Kamali ni mungu katili sana
Betting na Forex ina hitaji mtu mbishi , asiye na tamaa na mwenye uwezo wa kujicontrol.
Jambo ambalo nimejifunza kwenye forex na betting ni lazima uwe na ivitu.
1. Skill
2.stratergy
3.Technique
Betting is a skillfull game na kama kuna bahati n 10% tu .
Sifa uvumilivu.
Chukua hii : Betting na forex sio ya kila mtu
Nisaidie kuwaelewa hawa watu, maana sion km kunachakujifunza hapa…Sasa unajifunza nini wakati mechi huchezi wewe!?
Mwenzako alikuwa anatafuta 76 millionKwa hela hio tafuta odds zako 3 tu kaa kwa kutulia