Betting ilivyokwenda na milion moja yangu

Pumbavu
 
Nina mpango wa kuweka 1mil. Ninachambua mechi kabla ya kuanza na ninaibetia ikifika dala ya 80 pale odds imebaki 0.01 ili niweze kupata faida ya 8000 ktk stake ya 500K kwa mechi moja,
 
Nina mpango wa kuweka 1mil. Ninachambua mechi kabla ya kuanza na ninaibetia ikifika dala ya 80 pale odds imebaki 0.01 ili niweze kupata faida ya 8000 ktk stake ya 500K kwa mechi moja,
Tahadhari...mechi baada ya international break huwa ina matokeo ya kushangaza sana
 
Nimechelewa kusoma huu uzi hata sjaumlza nilivoona tuh hio slip nkajua unawenge kichwan ila nkuambie kitu tamaa mbaya betting haiendi hvyo ulivyodhani 3 draw? 😂😅 Kama una mtaj njoo camp mrus empire tfuta lnk
 
Hapo kwenye uvumilivu ndio umemaliza kila kitu. Unaweza kuwa na skill, techs na tacts za kutosha ila ukawa na haraka ya kuzipata pesa za betting. Ukajikuta unaongeza option za kupoteza badala ya kupata.
 
Mturutumbi mtu wa vumbi hapo ulikutana na kivumbi. Ila ni wazi una chambua sana coz game ulizokosa hazikuwa mbali na sare. Sema kuweka draw 3 ulijikaza sana. Wengine sisi draw tunaziwekaga baada ya sure game kadhaa ili kukuza ods zetu 3. Tena unaweka draw moja tu.
 
Jana nimempiga 51k Kwa stake ya 2k tu. Asanteni sana man UTD.
 
Ukicheza kizembe Mimi walinipiga 300k nikachukia nikadeposit 500k kwa hasira nikamsaka kwenye Aviator , nikapata 970k nikacheza ikarudi 912k nikaondoka zangu😃
 
Fata yanga mechi zote win or draw 😅 mpka Sasa ungeukuwa hujapoteza
Nina mpango wa kuweka 1mil. Ninachambua mechi kabla ya kuanza na ninaibetia ikifika dala ya 80 pale odds imebaki 0.01 ili niweze kupata faida ya 8000 ktk stake ya 500K kwa mechi moja,
 
Kwenye betting ni fedha za wajinga huliwa na werevu.
 
Nacheza Sana draw mkuu, siku ukiwa na M nyingine nicheki nikuongezee team
 
Acha kutupiga ndoige bhn…. Km umeweza kupost kipigo ulichokula, umeshindwa vp kuposti huo mkeka wa m.6 uliompiga mhindi?

To make long story short ni kwamba mhindi amekuchenyeta mikeka yote ya stake kubwa,

Inshort hapi ulipo huna hamu n betting
 
Hakuna cha skills wala strategic, makampuni tuu ya kupredict ambao wanafanya critical analyize ya match hisika wanakula za uso…

Huwez kuweka strategic cjui skill kwny match ambayo ww huchezi, wala sio coach… tena kwny current situation ambayo condition ya uwanja, utimamu wa wachezaji na mipango ya bench la ufundi huijui…

Ww n mbahatishaji km wabahatishaji wengine…
Leo city kafa, arsenal kafa, na yanga kafa pia… hapo unachomokaje labda mr betting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…