Betting ilivyokwenda na milion moja yangu

Leo nimepigwa fimbo hadi nikakimbilia huku nako ni fimbo tu
 

Attachments

  • 732AEF72-15F9-42DF-AF2C-A99202020CB9.png
    315.2 KB · Views: 19
  • 4DA2FC34-049C-4EE4-B341-9C859D2CCBDC.png
    303.2 KB · Views: 22
Huku nikampa bekstas huku nikampa city
 

Attachments

  • 6E725335-0761-47B8-8227-35E2124686C6.png
    749.7 KB · Views: 21
  • 68E23AA6-90A3-4D3C-871C-9C3A345E1F09.png
    712.1 KB · Views: 17
Kaka unayosema ni kweli 🀣🀣🀣🀣😍asante kwa kunirekebisha apo kwa man city umeongea
Vijana tufanye kazi mali ipo shambani
 
Ushahidi wa kuliwa umeweka,, Ushahidi wa kula million 6 kwa siku mbili hujaweka…

Naona umeamua kutuchemshia chai ya Magadi sio?
 
Alafu utasikia kunatangazo Lao kwny redio mdada kala million 50 aviator…..

Ukiuliza ushahidi ukwapi? wanakimbia kimbia tuu, kudadadeki…
Watu wanakula ila usijaribu aviator ya betpawa mimi kule nimeamua kua nacheza jackpot tu ya shilingi mia nikipata haya leo kanifuta machozi 75k kwa 100 pesa nzuri sana
 

Attachments

  • 598B1E28-11E5-4DD9-84E4-46F2EA1F5320.png
    187.3 KB · Views: 14
Alafu utasikia kunatangazo Lao kwny redio mdada kala million 50 aviator…..

Ukiuliza ushahidi ukwapi? wanakimbia kimbia tuu, kudadadeki…
"Weka hela hapa, kindege kitapaa weee halafu utapata pesa nyingi" Halafu kweli mtu anaweka.
 
Betting sio kazi nimefanya forex nikaacha. Betting na forex zinataka watu wenye uhakika wa kula na kuishi yaani wanaiweza kusaidia wengine. Just imagine hapo ukiwa na njaa utaona 2m ni nyingi so hutokaa uweze kusubiri mkeka ushinde mamilioni same to forex inahitaji kuweka order unayomudu kupoteza! Ni mtazamo wangu ata mimi sometimes naweza kuona Bora kuchukua 1m nayoiona kuliko kusubiri 40m hahaha 🀣 🀣 🀣
 

Attachments

  • IMG_20241026_120553.jpg
    751 KB · Views: 14
  • IMG_20241026_120640.jpg
    696.5 KB · Views: 17
  • Screenshot_20241111_034114.jpg
    200 KB · Views: 14
Nilichoshangaa Korea na Japan wanaobeti ni wazee kuanzia 55+ nimeingia betting clubs vijana wanahesabika tena ni above 35 na wanamaisha wanajua nini wanafanya na sehemu za betting zina ulinzi mkali kuzidi ata Bank 🏧.

Kwa mtazamo wangu betting ingefanywa kuwa mchezo wa MATAJIRI na wasomi kuanzia Masters mtu wa Degree kurudi chini asiruhusiwe kabisa kufanya Forex. Akipatikana afungwe miezi 3 na viboko 12 wakati anatoka jela... Natania ila ni kama kweli vile .....hapa namanisha jobless na wengineo wasio na uhakika wa kula wasiruhusiwe kufanya betting au Forex.

Nchi masikini kuruhusu betting kwa raia wake ni kuwaonea kabisa naona ni kama kutokujali wananchi wa hali ya chini. Wanakuwa wanapoteza nguvu kazi na kuwa na urahibu/ addiction bila sababu ya msingi.

Betting zingefashwa kuwa huduma za anasa kama kwenda kunywa chai kempsky au Serena hotel wakati uwezo hauruhusu.
 
Pole sna mkuu. Lakini inaonekana bado wewe ni mchanga sana kwenye betting. Ukishinda mkeka huwa unajiona unajua sana wakati ushindi kwenye betting ni bahati zaidi kwani hata Yanga ambao unaweza kuwaamini na kuwatilia dau la 10M nao pia hufungwa na timu ndogo kabisa. Hata juzi Man City katoka kupigwa na timu ndogo.

Mkuu Mturutumbi255 (mchawi) unaposhinda mkeka, huo ndio wakati wa kukaa chini na kutulia ubet kwa uhakika zaidi na kwa dau dogo. Sio wakati wa kukimbilia kubet kwa dau kubwa ukijiona unajua kubet au kwa kuwa umepata pesa nyingi. You will end up losing everything. Anyway, only bet waht you can afford to lose.
 
Watu mna mioyo migumu sana. Unaweka Milioni unabet draw?? tena mechi tatu?? aise! bora ungeweka double chance au hata over/under ungeambulia chochote
 
Mi nkiweka million , option ambayo haitonipa stress sana ni over 0.5 , ntasubiri goli upande wowote ule dakika 90 , wakitoka 0-0 basi nakubali nmeliwa , mi naona ukistake high acha tamaa Bora uweke ata odd 1 uweke million upate laki mpka laki 5 au uweke odds 2 tu upate faida sawa na stake Yako, option salama ni over 0.5 au ukilipuka sana mwisho over 1.5( NB hakuna option isiyochana, unajaribu tu kuminimize risk , ni Bora kusubiri goli upande wowote ule kuliko kusubiri mtu ashinde au asifungwe πŸ™Œ
 
Safi sana.Je umeacha kubet au bado unaendelea.
 
Sema kuna visheria vyako ukiviweka kwenye betting na ukavifuta unaenjoy sana.

1. Idadi ya team (angalau zisizidi tano kwa slip)

2. Dau (kiasi cha dau kwa kila slip kile ambacho hata ukikipoteza kwa siku husika hakitoathiri mahitaji ya msingi)

3. Jumla ya odd kwa slip moja. (Odd 2 -4)
4. Option (masoko)
5. Idadi ya slip kwa siku.(1-4)
6. Fanya kama tu side hustle au fun.


Ukiweza kuwa na nidhamu hapo Kwenye mambo sita basi utaenjoy.
Hasara haifukuziwi emejiwekea sheria slip kwa siku ni tatu imechanika yote relax siku hiyo ni mbaya utaendelea kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…