Betting ilivyokwenda na milion moja yangu

Je wanao weka miambili wanapata milioni kazaa hao ni bahati au ni nini
 
Je wanao weka miambili wanapata milioni kazaa hao ni bahati au ni nini
10000 kwa mmoja inatokea ila hiyo ni bahati. Hata ukiweka game moja bado ni bahati. Ila chance ya bahati inaongeza au kupungua kutegemeana na idadi na aina ya machaguo.

Unaweka sare.

Mwingine anaipa team ishinde au sare.

Ikitokea haijawa sare mwenzio anaweza kushinda kwako ikalost. Ikitokea sare pia mtashinda wote ww na yy.
 
Ungecheza kindege mkuu
 
Hata kubet hujui aisee pesa yote hiyo afu unaweka kama unabet jero..? Hapo ungechagua timu zako nne ukaweka doble chance
 
Mkuu umejieleza saaana lakini bado haiondowi ukweli kwamba ulipigwa na wa zee wa kuuza fixed game(wengi wamepitia huko)
Tunajua kwamba ni AIBU kukubali kwamba ulitapeliwa kiboya lakini wakamalia wote tukisoma tu maelezo yako tunajua kabisa mwamba aliingizwa cha kike kwa fixed game

Kwa mtu yeyote anayebeti akiuangalia tu mkeka wa stake mlima anaweza kubaini kwamba huu mkeka mtu KAJILIPUA au KALIPULIWA.
Hakuna mkamalia mwenye akili zake timamu aweke 1M kwenye timu madaraja ya chini hazijulikani halafu achague option ya draw tena game 3 odd 74?

Unadai ulikula milioni 6 halafu ukaliwa 1M na baada ya muda ukarudisha 1M yako ulioliwa........ Sasa umefungua uzi wa nini wa kulia lia UMEPOTEZA 1M wakati umekula M6 ukaliwa 1M halafu ukairudisha tena 1M ulioliwa? Huoni kama una M6 hapo?
Nilidhani ungepeswa kufungua uzi kueleza jinsi ulivyo kula M6 na sio ulivyo “poteza 1M”

Mkuu usitudhalilishe wakamalia
Badili title yako iwe KUWENI MAKINI NA MATAPELI WAUZA FIXED
 
UMEKOSA😂 kumbe ndo Hela umeliwa hvo afu wanaandika UMEKOSA utafkiri ni mchezo wa kawaida
 
Jamani acheni tamaa, wee xheza na odds za 1.6-1.80
Cheza o1.5 basi mechi zako nnne mchezo kwishney. Utakuwa unakula sana tuu.
Nadharia yake ni simple sana. Katika ligi kuu bora barani ulaya wastan wa magoli ni 2.66 goals per game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…