Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Kwahiyo Kwa akili Yako Kila mtu anaeshinda million 5 anakua ameshaliwa zaidi ya milion Tano we kweli akili huna Mimi siku yangu ya kwanza kubet niliwin milion 8 na nilitumia elfu 10 tu hivyo betting ni kazi ambayo sio watu wote mtaiweza
 
Hii chai
 
Tatzo unataka kuwa tajili kupitia betting. Wewe fanya betting kutafta pesa ya kula elfu 50 au 40. Chukua laki yako Mpe yanga mpe Man City mpe madrid Mpe simba utakosaje pesa sasa?
Hapo ndo unarisk 100k kwa odds ya 1.30

Yan ni risk laki 1 kisa natafuta elf 20 hizo akili matope?
 
Haiwezi kutokea kwa timu nilizo zitaja na nyingine nyingi timu ambazo msimu mzima wa ligi zikipoteza ni mechi mbili au tatu
Ww hujawai kubet unapiga kelele tuu hapa, hizo team zenye uakika wa kushinda ulishawai kuona odds zake? 1.02 - 1.2 hizo nazo n odds au upuuz tuu
 
Kwahiyo Kwa akili Yako Kila mtu anaeshinda million 5 anakua ameshaliwa zaidi ya milion Tano we kweli akili huna Mimi siku yangu ya kwanza kubet niliwin milion 8 na nilitumia elfu 10 tu hivyo betting ni kazi ambayo sio watu wote mtaiweza
Hiyo chai, na utakunywa mwenyewe
 
Qurani tukufu ishamaalliza miaka maelfu nyuma kama ramli kamari ushirikina na riba na mambo mabaya zaaidi soo tujiepushe mayo hapo mwenye kulishiriki moja ama yote huwez abasaan kuwa na mafanikio na amani ya moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…