Yuda Eskareote
Member
- Aug 30, 2019
- 90
- 138
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Kwa akili Yako Kila mtu anaeshinda million 5 anakua ameshaliwa zaidi ya milion Tano we kweli akili huna Mimi siku yangu ya kwanza kubet niliwin milion 8 na nilitumia elfu 10 tu hivyo betting ni kazi ambayo sio watu wote mtaiwezaUshawah kusikia msemo wa watu wa casino kuwa "the house always wins"
Hata ikitokea siku ukampiga Mhindi 90M hajapata hasara.. maana yake yeye hiyo 90M pengine anaikusanya kila aiku kutoka kwenu..
Fikiria ww unabet buku au 10k au 2k. Kila siku halafu mko zaid ya 100 mnaobet kila siku tena sio mara moja.. kwa kifupi yeyote anaeashinda anakuwa kama kachangiwa kile kias cha pesa na wenzie walioshindwa
Kuna jamaa yangu alishindaga 5M sikumbuki alibet kias gan.. baada kama ya miez kazaa akapiga tena 4M..
Nilimuliza je ushawah kufatilia histor ya kubet kwako na ww umeliwa kias gan.. akasema ngoja nichek
Kaja kuona kabla hajashind ile 5M ya kwanza alikuwa ameliwa jumla ya milion 6 na ushee.. na kabla hajashinda hii 4m ya pili miez kadhaa baadae alikuwa ameliwa pia kama 4 na ushee, kwa kifupi alichoshinda ni kama karudisha asilia 80 ya alizokuwa anapigwa
"THE HOUSE ALWAYS WINS"
Mhindi atapata hasara kama wateja wakipungua kubet.. ila sio individual kushinda
Hii chaiJamaa siku 15 zilizopita aliweka 50000 akala 100000 juzi mechi ya Yanga na Kengold kaweka yanga ashinde goli kuanzia 3 kaweka 108000 ale 138000 apate faida ya 38000 kilichomkuta kaliwa hela yote juzi akabeti ya Simba kwamba anashinda 2-1 akaliwa tena 🤣🤣 sasa hivi kageuka mwanafalsafa
Humu tuuu….Nimetumia kila mbinu, kila hesabu ninazozijua lakini kipigo kiko palepale.
We ushapata ngap?Acha kuiongelea vibaya hii biashara hakuna kazi / biashara yenye pesa Kama hii duniani
Hapo ndo unarisk 100k kwa odds ya 1.30Tatzo unataka kuwa tajili kupitia betting. Wewe fanya betting kutafta pesa ya kula elfu 50 au 40. Chukua laki yako Mpe yanga mpe Man City mpe madrid Mpe simba utakosaje pesa sasa?
Ww hujawai kubet unapiga kelele tuu hapa, hizo team zenye uakika wa kushinda ulishawai kuona odds zake? 1.02 - 1.2 hizo nazo n odds au upuuz tuuHaiwezi kutokea kwa timu nilizo zitaja na nyingine nyingi timu ambazo msimu mzima wa ligi zikipoteza ni mechi mbili au tatu
Hiyo chai, na utakunywa mwenyeweKwahiyo Kwa akili Yako Kila mtu anaeshinda million 5 anakua ameshaliwa zaidi ya milion Tano we kweli akili huna Mimi siku yangu ya kwanza kubet niliwin milion 8 na nilitumia elfu 10 tu hivyo betting ni kazi ambayo sio watu wote mtaiweza
Hizo ods umezitoa wap mzee, umemuua man city nn?
TennisHizo ods umezitoa wap mzee, umemuua man city nn?