Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

Ushawah kusikia msemo wa watu wa casino kuwa "the house always wins"

Hata ikitokea siku ukampiga Mhindi 90M hajapata hasara.. maana yake yeye hiyo 90M pengine anaikusanya kila aiku kutoka kwenu..

Fikiria ww unabet buku au 10k au 2k. Kila siku halafu mko zaid ya 100 mnaobet kila siku tena sio mara moja.. kwa kifupi yeyote anaeashinda anakuwa kama kachangiwa kile kias cha pesa na wenzie walioshindwa

Kuna jamaa yangu alishindaga 5M sikumbuki alibet kias gan.. baada kama ya miez kazaa akapiga tena 4M..

Nilimuliza je ushawah kufatilia histor ya kubet kwako na ww umeliwa kias gan.. akasema ngoja nichek

Kaja kuona kabla hajashind ile 5M ya kwanza alikuwa ameliwa jumla ya milion 6 na ushee.. na kabla hajashinda hii 4m ya pili miez kadhaa baadae alikuwa ameliwa pia kama 4 na ushee, kwa kifupi alichoshinda ni kama karudisha asilia 80 ya alizokuwa anapigwa

"THE HOUSE ALWAYS WINS"

Mhindi atapata hasara kama wateja wakipungua kubet.. ila sio individual kushinda
Kwahiyo Kwa akili Yako Kila mtu anaeshinda million 5 anakua ameshaliwa zaidi ya milion Tano we kweli akili huna Mimi siku yangu ya kwanza kubet niliwin milion 8 na nilitumia elfu 10 tu hivyo betting ni kazi ambayo sio watu wote mtaiweza
 
Jamaa siku 15 zilizopita aliweka 50000 akala 100000 juzi mechi ya Yanga na Kengold kaweka yanga ashinde goli kuanzia 3 kaweka 108000 ale 138000 apate faida ya 38000 kilichomkuta kaliwa hela yote juzi akabeti ya Simba kwamba anashinda 2-1 akaliwa tena 🤣🤣 sasa hivi kageuka mwanafalsafa
Hii chai
 
Tatzo unataka kuwa tajili kupitia betting. Wewe fanya betting kutafta pesa ya kula elfu 50 au 40. Chukua laki yako Mpe yanga mpe Man City mpe madrid Mpe simba utakosaje pesa sasa?
Hapo ndo unarisk 100k kwa odds ya 1.30

Yan ni risk laki 1 kisa natafuta elf 20 hizo akili matope?
 
Haiwezi kutokea kwa timu nilizo zitaja na nyingine nyingi timu ambazo msimu mzima wa ligi zikipoteza ni mechi mbili au tatu
Ww hujawai kubet unapiga kelele tuu hapa, hizo team zenye uakika wa kushinda ulishawai kuona odds zake? 1.02 - 1.2 hizo nazo n odds au upuuz tuu
 
Kwahiyo Kwa akili Yako Kila mtu anaeshinda million 5 anakua ameshaliwa zaidi ya milion Tano we kweli akili huna Mimi siku yangu ya kwanza kubet niliwin milion 8 na nilitumia elfu 10 tu hivyo betting ni kazi ambayo sio watu wote mtaiweza
Hiyo chai, na utakunywa mwenyewe
 
Qurani tukufu ishamaalliza miaka maelfu nyuma kama ramli kamari ushirikina na riba na mambo mabaya zaaidi soo tujiepushe mayo hapo mwenye kulishiriki moja ama yote huwez abasaan kuwa na mafanikio na amani ya moyo
 
Back
Top Bottom