Betting ni mchezo unaoweza kukuletea umasikini hata kukuua!

umepiga mule mule ,yote uliyoyasema ni ukweli
 
mkuu kwa kukukosoa ni kwamba, hakuna mtu aliemua kubeti akaweza kujicontrol, kujicontrol ni kuacha tu
 
Tatzo unataka kuwa tajili kupitia betting. Wewe fanya betting kutafta pesa ya kula elfu 50 au 40. Chukua laki yako Mpe yanga mpe Man City mpe madrid Mpe simba utakosaje pesa sasa?
Shida hizo timu hupewaga odds ndogo sana,unakuta hata ukiweka laki ukila unapata laki na kumi na mbili,faida elf12
 
Kiukweli watu wanakosea kudhani unaweza kuweka 400 ili upate milion 10.mimi binafsi nabet na kula elfu 10 au 30 ni kitu cha kawaida tu
mimi nimbeti kwa kufukuzia faida ya 5,000 Tu kwa dau la 10,000 mikeka ya aina hiyo pia nimepoteza mingi tu!
 
Hii ipo 50/50, wewe umelalia kwenye madhara tu kwakuwa betting imekutia hasara. Haya uliyoeleza mimi hayaingii akilini mwangu sababu betting imefanya niachieve mengi ambayo kwa pesa yangu pekee isingewezekana.

Hauna bahati tu mkuu
wakati napiga hela za betting nilikuwa naongea zaidi yako wewe, una muda gani kwenye beting? Leta CV
 
Shida hizo timu hupewaga odds ndogo sana,unakuta hata ukiweka laki ukila unapata laki na kumi na mbili,faida elf12
Uongo huo.
Yaani uzipe timu zishinde Madrid, Mancity, Simba na Yanga halafu kwa ujumla ziwe na odds 1.12?

Kwa mahesabu ya betting hapo kwa ujumla wake hizo timu zote zikicheza na vibonde kwenye ligi zao hukosi odds 1.5 na hayo ni makadirio ya chini kabisa.
 
Uongo huo.
Yaani uzipe timu tatu zishinde Madrid, Mancity na Yanga halafu kwa ujumla ziwe na odds 1.12?

Kwa mahesabu ya betting hapo kwa ujumla wake hizo timu zote zikicheza na vibonde hukosi odds 1.5.
Kwa hyo unafikiri madrid akicheza na kibonde anapewa point inafika hata 1.2,thubutuuuuu,wakati mwingine anapewa hadi 1.07,sasa hapo kuna nini?
 
licha ya timu 2 sijui 3, mkeka wa timu 1 tu unachanika! Na vile vile unaweza ukaweka hata timu kumi odds 20 mkeka ukatiki!
haka kamchezo kakishakuingia akilini huambiliki! lakini muda ukifika huhitaji kuambiwa na mtu. nina uzoefu mkubwa sana
 
forex nayo naona ni kama betting tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…