Betty Mkwasa anafaa kumrithi Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Huyu huyu Betty Chalamila early 80's alikua RTD. Let us assume 1980 alikua 25 years minimum. Leo si atakua anakaribia 80?
Tanzania imefikia hapa kwa uhaba wa watu? Si tu import kutoka nje.
Wengine mtasema mbona makamu chair naye hawezi kutumwa dukani na Museveni, umakamu Ni political post.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…