Betty Mkwasa anafaa kumrithi Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

Huyu huyu Betty Chalamila early 80's alikua RTD. Let us assume 1980 alikua 25 years minimum. Leo si atakua anakaribia 80?
Tanzania imefikia hapa kwa uhaba wa watu? Si tu import kutoka nje.
Wengine mtasema mbona makamu chair naye hawezi kutumwa dukani na Museveni, umakamu Ni political post.
KUNA MTU KATEULIWA MAJZI

KWENYE TUME SIJUI YA NNNN
NI MWENYEKITI WA BODI
ANAONGOZA PIA TUME NYINGINE
HAITOSHI YUMOOO..BAHATI IKIPANGWA HAIPINGIKI
 
Is she conversant about the new media?
You can't teach an old dog new tricks.”
Note: An opinion is not a fact.
 
Huyu huyu Betty Chalamila early 80's alikua RTD. Let us assume 1980 alikua 25 years minimum. Leo si atakua anakaribia 80?
Tanzania imefikia hapa kwa uhaba wa watu? Si tu import kutoka nje.
Wengine mtasema mbona makamu chair naye hawezi kutumwa dukani na Museveni, umakamu Ni political post.
Uhaba wa watu unatokana na vijana wengi kujikita kwenye viroba na visungura kutwa nzima, hawataki kazi.
 
Huyu huyu Betty Chalamila early 80's alikua RTD. Let us assume 1980 alikua 25 years minimum. Leo si atakua anakaribia 80?
Tanzania imefikia hapa kwa uhaba wa watu? Si tu import kutoka nje.
Wengine mtasema mbona makamu chair naye hawezi kutumwa dukani na Museveni, umakamu Ni political post.
Anacheza kwenye 65/75 hapo
 
Back
Top Bottom