TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Msemaji wa ikulu sio Mtangazaji wa ikuluMheshimiwa Dkt. Betty Mkwasa anatajwa kuchukua nafasi ofisi Kuu. Kwa hakika tumepata jembe. All the best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msemaji wa ikulu sio Mtangazaji wa ikuluMheshimiwa Dkt. Betty Mkwasa anatajwa kuchukua nafasi ofisi Kuu. Kwa hakika tumepata jembe. All the best
Hapo nimekupata vema mkuu🙏🙏BM- Betty Mkwasa/ Betty Chalamila (Mrs. Boniface Mkwasa)
ME- Mhariri mtendaji wa Mwananchi na The citizen.
Mhariri kwa kipi hasa?BM- Betty Mkwasa/ Betty Chalamila (Mrs. Boniface Mkwasa)
ME- Mhariri mtendaji wa Mwananchi na The citizen.
MKuu hii nafasi bora wangekupa wewe tu, wengine wote wanapuyanga tu!Nitakufafanulia baada ya uteuzi ili nisije kumharibia maana kadri siku zinavyokwenda, Maza anazidi kufanana na yule Blaza wangu, asije kubadili.mawazo akijua watu tumejua, hivyo kuonekana kama tunampangia!.
P
Hana huo uwezo bora angepata yule muha afadhali hapa tumepigwa tayariMheshimiwa Dkt. Betty Mkwasa anatajwa kuchukua nafasi ofisi Kuu. Kwa hakika tumepata jembe. All the best
Pia soma Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka kutolewa Ikulu?
Hata Kikeke atafaaKama ni post ya Venus Nyota, inachukuliwa na BM aliyekuwa ME The Citizen Mwananchi.
P
,🤣🤣🤣Haji Manara
IKULU ni pahali patakatifuHata Kikeke atafaa
Rafiki wa makamba, basi Kazi Imeisha mapema Sana 😂ME= Managing Editor na BM ni herufi za jina. Bakari Mwachumu
Dr? Tangu lini?Mheshimiwa Dkt. Betty Mkwasa anatajwa kuchukua nafasi ofisi Kuu. Kwa hakika tumepata jembe. All the best
Pia soma Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka kutolewa Ikulu?
Tumekupata vizuri mkuu!Kama ni post ya Venus Nyota, inachukuliwa na BM aliyekuwa ME The Citizen Mwananchi.
P
Amekutuma siyo?Mheshimiwa Dkt. Betty Mkwasa anatajwa kuchukua nafasi ofisi Kuu. Kwa hakika tumepata jembe. All the best
Pia soma Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka kutolewa Ikulu?
Yani huyu mbibi ndio akazeeke Ikulu? Nchi ina upungufu wa wawatu kiasi hiki?Mheshimiwa Dkt. Betty Mkwasa anatajwa kuchukua nafasi ofisi Kuu. Kwa hakika tumepata jembe. All the best
Pia soma Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka kutolewa Ikulu?
Au Adam MchomvuHaji Manara is the best!
Hapa umenena, mkuu! 🔥Au Adam Mchomvu
Alikuwa karibu saana na Julius Nyaisanga hadi Boniface Mkwasa akachukia.Halafu huyo Betty Mkwasa ukiacha ukaribu wenye mashaka na Msoga, aliwahi kufanya nini?
Daslam sijawahi kufika!Dar es salaam umekuja lini?