Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Kama hakwenda iwakilisha Tz mbona first presentation kila mtu aliambiwa aongelee anakotoka ie nchi na aliongelea Tz na wala sio iyo naniliu yake aliompa Ernest!
Waandaanji ni wa kulaumiwa pia kama mtu hajui kuwa nchi iko nyuma yake.
Nilikuwa nauona mtu wa maana sana ametutia aibu sana mnafanyana mbele ya kamela sh...............................nzi kabsaa
Inabidi aombe msamaha kwa ilo
 
Tatizo huyu dada aliingia kwa pozi sana BBA. Alijidai big sista , muda wote hyuko jikoni anapika, kumbe alikuwa fake tu. Baada ya muda she came out of her shell, akawa muda wote siting room kwenye mablanketi, muda wote yuko na Mganda halafu story zake ni za kuwasema watu. Kawasasambua mashosti zake wa bongo, sijui alifikiri hatarudi bongo au vipi. Msichana yeyote akiongea na Ernest, kanuna. Dada kanuna masaa 24. Akipika mikono kichwani inakuna wiggy, she was really disgusting Bore-ke! Alikuwa hana ujanja bila alcohol, hata Karen Mnigeria alimwambia nguvu yako iko kwenye alcohol siku walipogombana. Bia za bure hizo.
 
mwenye dada.......

sasa uchungu wa nini wa tz? ha ha ha - BHOKE we endelea uje na hizo pesa dadangu, achana na wabongo kwani wao hawafanyi?

Asimame mtu msafi tumwone hapa - acheni hizo.
 
mwenye dada.......

sasa uchungu wa nini wa tz? ha ha ha - BHOKE we endelea uje na hizo pesa dadangu, achana na wabongo kwani wao hawafanyi?

Asimame mtu msafi tumwone hapa - acheni hizo.

Huyu naona kachelewa kujua.......

BHOKE keshatolewa mkuu.......Kudhalilishwa kadhalilishwa na karudi mikono mitupu....

Kwa uchafu huo hapo juu nadiriki kusema kwamba mimi ni MSAFI na najitokeza na kusimama kifua mbele.........
 
Bhoke alitakiwa akeketwe kabla hajaenda, hilo ndo kosa kubwa lililotendeka angeuguza maumivu sidhani kama angethubutu kukigawa ovyo.
 
Kwa uchafu huo hapo juu nadiriki kusema kwamba mimi ni MSAFI na najitokeza na kusimama kifua mbele.........
StivieD kasema hakufanya mapenzi
msukuma yule lazima atakuwa analambiwa mke wake
 
ha! ha! ha! bora 'shaba ranks' angebaki kuliko huyu

Yaani ni sawa na ngedere na tumbiri, lao moja. Kumbuka Lotus na Bhoke walikuwa wanamchangia huyu mwanaume, so angebaki Lotus nae angeliwa nyago kama mwenzake tu na mwanaume huyohuyo, Lao moja, wanatoka TV moja, wamenanihiliwa na mwanaume mmoja, na sasa wote wamerudi kwao kulisongesha. Hakuna mwenye nafuu hapo
 
Nani aliona live wanafanya mapenzi hadharani? Hivi ni nani hajui mapenzi yanafanywaje??... kupiga busu na pozi la mahaba ni kufanya mapenzi? Binafsi naona alikuwa sawa anaigiza movie..zile zote ni "NATO alliance" yaani "No Action Talking Only" ..

Ndugu zangu tuache kuwahukumu watu kwa mawazo yetu...Jihukumu kwanza wewe mwenyewe...

Binafsi tufurahishwi na Big Brother..lakini sitakubali kumuhukumu mtu kwa mawazo yangu...Ni yeye mwenyewe anajua kizuri na kibaya na pia kile alichofanya alifanya kwa mapenzi yake na sio kwa mapenzi yako wewe mtazamaji! Acheni fikra fupi!!!


Wewe hacha upuuzi inamaana dunia nzima wajinga? sema hivi mganda kalipiza vita ya nduli 1979,ulikuwa tayari umezaliwa au bado? Vua gamba !!!!
 
ni bora awe porn star...kwani anaonekana haoni aibu kufanya ngono mbele za watu..:biggrin1:
 
Pamoja na kumlaumu Bhoke kwa aliyoyafanya ndani ya jumba la BBA, hapo kwenye Red ndio pamevuta zaidi hisia zangu.,binafsi naamini kuwa huyu binti hakutumwa kwenda kuwakilisha Taifa na wala alikuwa hawakilishi Tanzania kama nchi isipokuwa tu alikwenda mwenyewe kuganga njaa yake, kuna tofauti kubwa kati ya BBA na mashindano ya kimataifa ambayo timu zetu na wanamichezo wengine wanakwenda kushiriki, BBA haina faida yeyote kwa taifa tofauti na michezo mingine kwani lengo lake ni kumnufaisha mtu mmoja tu kwa maana ya huyo mshindi.

Lakini akirudi na mshiko si anautumia humuhumu bongo? au nayo haina faida yoyote?
 
This is typical shit sijui kama hicho ndio kilimpeleka huko yaani hii clip camera man wa BBA nafikiri ameweka kila kitu waiz you can see everything
 
Back
Top Bottom