Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

Hovyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Safi saana dada yetu kipenzi bhoke kwa kujibu maswali kiufasaha na confidence ya juu mno hakika wewe ni mkali,uko makini wale woote waliokuwa wanaua juu yako ni vizabinazabina tu hawana la maana.Nimependa ulivyokiri bila kung'atang'ata na kumung'unya maneno kuwa kila ulichokifanya mjengoni BBA kilikuwa real na hujutii na kuwa ilikuwa ni responsibility yako mwenyewe saafi saaana mijamaa ilikuwa na miswali yao walikupaniaaa wenyeeewe but ulmewatoa nishai safi sanaa.Keep it up na uwape kubwa waandishi wengine uchwara watakaojaribu kukuintaviuu ili kupata majina.:tongue::tongue::tongue:
 
its her life, and i dont 'f' care whatever way she lives it,ila kuifagilia ndo nnajali. anzisha fans club (just dont count on me,ok?)
 
Hii iliyojaa uzinzi ingeenda kule,au Bhoke ni mke wa mkuu,maana kwa vimwana HAJAMBO!
 
Ha ha ha! Yaani hata haya ya Bhoke ni siasa?
 
Hili ni jukwaa la SIASA, haya mambo peleka kwa ma-celebrities siyo hapa. Wenzako tunatafakari bajeti na ndoa kati ya CCM,POLIS, MAHAKAMA na DOLA we unaleta mambo ya BBA,jiangalie bwana!
 
mpuuzi yule kagawa k live af unamsifia, acha upuuzi wako.....kwanza she was boring and may be stinking!
 
Dada anapenda sifa za kijinga wakat anaojiwa clouds fm katika jahaz zamarad almpiga kijembe vipi unaweza jutia lolote lililotokea bba.huyu murhaa akajibu kwa kebeh "wala siwez jutia lolote ama kwel bora ya lotus mkorof kuliko bohke mpumbavu idiot,useless gal
 
Back
Top Bottom