Kwani mume wake alikufa kwa stress ?Ila sijui ni kwanini wanawake hawafi haraka kwasababu ya stress... Imagine mume wake karume kafa miaka sijui 1972....
Aisee wanaume tupunguze stress hata kama life limechapa Kaza huku unamwagilia moyo maji
Nani anafuata?Bundi bado kaweka makazi zanzibar
Kutokuwa chawa haitoshi.Pole nyingi kwa familia! Huyu mama hakuwa Chawa!
إنا لله وإنا إليه راجعون
Inna lillahi wa Inna ilayhi rajioon
May Allah Ta’ala grant her and all marhoomeen total Maghfirah and Jannatul Firdaus
May Allah Ta’ala grant all the bereaved Sabrun Jameel and Aafiyah
Aameen
Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki dunia leo, Septemba 21, 2026.
Taarifa ya kifo cha Bi.Fatma imetangazwa rasmi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ambapo amesema kimetokea Mbweni usiku huu.
Mama Fatma Karume alizaliwa Februari 2, 1929, Bumbwini Misufini, Mkoa wa Kaskazini Unguja, na baadaye akaolewa na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume ambapo mbali na kuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Mama Fatma anatajwa kuwa miongoni mwa Wanawake walioshiriki katika harakati za kisiasa Zanzibar.
Mama Fatma pia ni Mama wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, aliyeiongoza Zanzibar kuanzia mwaka 2000 hadi 2010.
ana asili ya wapi huyu, Mhindi au Muarabu? hilo jina la rangi yake sio mzawa halisi kwa kipindi hicho kabla ya kuolewaFatma Gulamhussein Jamal
Nipe company basi, japo ndugu zetu swalah inayofuata kazi inakuwa imeisha, hakuna mambo ya kamati.Unataka kwenda?
Kwamba soon ziraili anapiga hodi kizimworkDalili ya mvua ni mawingu!
Chotara wa kihindi. Baba muhindi. Mama sina hakika kama muarabu au mswahili.ana asili ya wapi huyu, Mhindi au Muarabu? hilo jina la rangi yake sio mzawa halisi kwa kipindi hicho kabla ya kuolewa