Unamuamrisha Mungu amsamehe? Sijaona mahali umemuimba Mwenyezi Mungu amsamehe.Allah Amsamehe na Amrehemu na Ampe Kauli Thaabit, Allahumma Aamiin.
Pamoja na yote alikuwa a pragmatic lady!Apumzike kwa amani Bi. Fatma Karume
Loh! hapa hata mdini Mohamed Said atakataa.R.I.P Mama Fatma Kerume. Bila mapambano yako na Mzee Karume na Nyerere Tanzania tusingepata uhuru
Asante kwa Taarifa,Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki dunia leo, Septemba 21, 2026
Mhe. Hemed Suleiman AbdullaTaarifa ya kifo cha Bi.Fatma imetangazwa rasmi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla
RIP Mama Fatma Karume,huyu ni miongoni mwa wake wa waasisi wawili wa taifa hili Nyerere na Karume, mwenzake ni Mama Maria Nyerere.Mama Fatma Karume alizaliwa Februari 2, 1929, Bumbwini Misufini, anatajwa kuwa miongoni mwa Wanawake walioshiriki katika harakati za kisiasa Zanzibar.
Njoo nipitie..Nipe company basi, japo ndugu zetu swalah inayofuata kazi inakuwa imeisha, hakuna mambo ya kamati.
Ndio vizuri ukale urojo na zanzibar pizza kidogo!Njoo nipitie..
Safi!!💃🏽Ndio vizuri ukale urojo na zanzibar pizza kidogo!
Waende wapi?1. Mama Maria
2. Mama JPM
3. Mama mkapa
4. Wake woteee wa makamu wa Rais
5. Wake woteee wa Mawaziri wakuu
6. Majaji
7. CDF
8. IGP
9. Salma + JK [ waondoke Nov mwaka huu]
Sema utachezea🤪🤪Safi!!💃🏽
Nichezee nini tena we mzeeSema utachezea🤪🤪
Lollipop!Nichezee nini tena we mzee
Waende wapi?
Kisa pizza na urojo au?Lollipop!
Hapana, tunaenda kuzika halafu ni kama ka vacay flani hivi.Kisa pizza na urojo au?