Bi Sandra afunguka kuhusu mumewe Shamte kuzaa nje ya ndoa

Yaani hata Isma nae anatingisha jiji? Huyo domo anaejivunia angemuelekeza njia bora ya family asije ishia kufugwa kama yeye anvyofugwa, yaani kumbe hata nyumba mpya ya Domo amepanga..madale tu ndio kajenga.
Heee makubwa, nikajua ni nyumba yake.
 
Yaani huyu kama kuvila acha tu avile ila naona huruma Sana kwa Dai na familia yake maana huyu hatawaacha salama Lazma atawapiga tukio
Tukio la kwanza si ni hii issue
 
Yaani huyu kama kuvila acha tu avile ila naona huruma Sana kwa Dai na familia yake maana huyu hatawaacha salama Lazma atawapiga tukio
Jamaa ndy zake
Yeye mtu kutereza ila hapo kapata
Atatereza mpk basi
Watu wa moro na tabata watakuwa wanampata

Ova
 
Kumbe nawew ni msambazaji wa umbeya wa mangi kima***
 
Tambaza ni ukoo ndugu...tafuta majina ya wazee waliokua bega kwa bega na mwalim kutafuta uhuru...utakutana na hilo jina
Nimesoma pale ile shule kirefu chake ni TAZAMA MBALI ZAIDI
 
Huwa wana maneno matamu, unaweza kujiona miss world wakati anatafuna pesa yako
Shamte anasema alitoa mahari Kidogo ila anapewa vikubwa sana mara bibi tiffa kama kitoto cha shule, Kumbe anadanga tu hapo Shamte haendi mbinguni
 
Shamte anasema alitoa mahari Kidogo ila anapewa vikubwa sana mara bibi tiffa kama kitoto cha shule, Kumbe anadanga tu hapo Shamte haendi mbinguni
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Shamte aufunge mdomo wake, hajui kula na kipofu.
 
Kijana alimchagua Wema over dada yake nisikiavyo dada ni uzuri wa mkakasi ndani hukoo hygiene ni 0
Wew dada unaonekana wamjini sana. Mi nahisi unakaaa kinondoni au mwananyamala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…