Heee makubwa, nikajua ni nyumba yake.Yaani hata Isma nae anatingisha jiji? Huyo domo anaejivunia angemuelekeza njia bora ya family asije ishia kufugwa kama yeye anvyofugwa, yaani kumbe hata nyumba mpya ya Domo amepanga..madale tu ndio kajenga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee makubwa, nikajua ni nyumba yake.Yaani hata Isma nae anatingisha jiji? Huyo domo anaejivunia angemuelekeza njia bora ya family asije ishia kufugwa kama yeye anvyofugwa, yaani kumbe hata nyumba mpya ya Domo amepanga..madale tu ndio kajenga.
Yaani huyu kama kuvila acha tu avile ila naona huruma Sana kwa Dai na familia yake maana huyu hatawaacha salama Lazma atawapiga tukioHuyo shamte aka Mai ni mzee wa kitonga
Achana kbsa na hyo mluguru kutoka nane nane moro
Ova
Jamaa ndy zakeYaani huyu kama kuvila acha tu avile ila naona huruma Sana kwa Dai na familia yake maana huyu hatawaacha salama Lazma atawapiga tukio
Hii no sokoine drive...jengo linaloonekanani kulia ni mahakama kuu na jengo la kushoto lilikua ni court house lilivunjwa kupisha ujenzi wa kilimanjaro hotelKila sehemu ilikuwa mashamba na mapori mzee baba
Tambaza ni ukoo ndugu...tafuta majina ya wazee waliokua bega kwa bega na mwalim kutafuta uhuru...utakutana na hilo jinaTambaza navyojua Mimi inakirefu nashangaa kusikia ni ukoo
Duuh mwaka gani hii pic??Hii no sokoine drive...jengo linaloonekanani kulia ni mahakama kuu na jengo la kushoto lilikua ni court house lilivunjwa kupisha ujenzi wa kilimanjaro hotelView attachment 1127161
Kumbe nawew ni msambazaji wa umbeya wa mangi kima***What Diamond's Mother Said About Her Lover Cheating and Fathering Child With Younger Woman - Nairobi Wire
Sandra Kassim, the mother of Bongo superstar Diamond Platnumz, has responded to reports that her lover Rally Jones cheated on her and impregnated a much younger woman. The said woman, only identified as Sharifa, reportedly gave birth recently. In an audio recording shared widely in Tanzania’s...nairobiwire.com
Mama mtoto anaitwa Sharifa Tambaza. Kwa wasioujua huu ukoo wa Tambaza ulimiliki ardhi ya Upanga kama mashamba yao miaka hiyooo.
Nimesoma pale ile shule kirefu chake ni TAZAMA MBALI ZAIDITambaza ni ukoo ndugu...tafuta majina ya wazee waliokua bega kwa bega na mwalim kutafuta uhuru...utakutana na hilo jina
Shamte anasema alitoa mahari Kidogo ila anapewa vikubwa sana mara bibi tiffa kama kitoto cha shule, Kumbe anadanga tu hapo Shamte haendi mbinguniHuwa wana maneno matamu, unaweza kujiona miss world wakati anatafuna pesa yako
The issue here ni ukoo wa Tambaza sidhan kama tumeongelea shule....pia nimepita hapo mid 90sNimesoma pale ile shule kirefu chake ni TAZAMA MBALI ZAIDI
Tukio la kwanza si ni hii issue
Hili wala si tukio mpenzi wangu huyu atawapiga tukio mpaka watashangaa Achana na watu jamii ya Shamte wewe huwa hawana hurumaTukio la kwanza si ni hii issue
Kwani alifanya nini mpaka Karma imrudieKarma imemrudia mama dangote [emoji28][emoji28][emoji28]
Wew dada unaonekana wamjini sana. Mi nahisi unakaaa kinondoni au mwananyamalaKijana alimchagua Wema over dada yake nisikiavyo dada ni uzuri wa mkakasi ndani hukoo hygiene ni 0
Maana matukio yote ya mjini ya kimbea unayajuaKwamtogole huko kote umekosea