Mimi personally sili kitimoto Lakini ni makosa makubwa sana kulazimisha Sayansi itetee udini wako....kwahyo Research za mlengo wa kutetea maandiko huwa ni upuuzi...Sayansi haijaja kutetea dini
Mfano:Huwezi kuthibitisha kitu chochote kiliumbwa na Mungu lakini pia huwezi kuthibitisha kitu chochote hakijaumbwa Na Mungu...kwahyo dini haiwezi kuthibitisha kwa scientific argument kama ambavyo sayansi haiwezi kudisprove uwepo wa majini,mizimu,malaika nk.
Sayansi ni kifaa tu ambacho binadamu hutumia kugundua na kuuelezea ulimwengu unaoonekana(physical world) na wala haikuja kuprove au kuprove mambo ya kiroho(spiritual world)
wanaoifosi itetee milengo yao ya kidini wanakosea
Dini kwa upande mwingine ni system ya imani tu...amabayo haiitaji proof yoyote
kwahyo usijaribu kutumia sayansi kuprove dini yako isivyopenda nguruwe
Sent using
Jamii Forums mobile app
Sijui umeandika kitu gani??!!!
Nilipoandika juuu ya madhara ya ulaji kitimoto mimi sikuhusisha jambo hilo na imani yoyote ya dini, mimi niliangalia upande wa sayansi tu kinyume chake ni wewe uleingiza imani za kidini kuonyesha kwamba ni imani ya dini moja tu ndio inakataza watu watu wasile kitimoto, mimi nikakuonyesha kwamba hiyo siyo imani ya dini moja.
Kwakuwa umepotosha masuala ya imani za dini na sayansi Sasa mimi nasema unatakiwa ujifunze mambo haya:-
1---Dini inasimamia juu maneno ya Mungu.
2----Sayansi inasimamia juu ya uumbaji wa Mungu.
Zote dini na sayansi ya kweli ni mali za Mungu, vyote vinatoka kwake ni ujinga kusema kwamba sayansi ya kweli haihusiani na dini.
Angalia; Mtu akiugua maana yake kaathirika kimwili (uumbaji wa Mungu umeathirika) hivyo hawezi kufanya ibada sawasawa au anaweza asifanye ibada kabisa hapo utaona roho yake pia huathirika "negatively" hivyo kwa upande wa dini anaathirika negatively, halikadhali mtu mwenye njaa mwili huathirika kwa njaa na hivyo hawezi kufanya ibada na hivyo he will be spiritually affected, hapo sasa utaona maumbile (sayansi) na roho (dini) zinavyohusiana.
Kamwe huwezi kutenganisha sayansi ya "kweli" na Imani za dini ya "kweli", leo bila sayansi basi ibada zetu tusingetekeleza kwa Ufanisi, ni sayansi imesaidia kuchapisha Qur'an, Biblia, imesaidia kurahisisha mahubiri na matangazo ya kidini nk, hii maana yake Sayansi ni toothful tool (not toothless) katika kusaidia kutekekeza masuala ya kidunia na kiimani pia, a true science and a true doctrines are inseparable and they work together.
Nyama ya nguruwe ni nyama yenye diverse effect katika mwili wa mtu, wataalamu wa tiba wanaona mnyama ambaye viungo vyake vinakaribiana sana na viungo vya binadamu ni Nguruwe, ndio maana leo tafiti na studies zinafanywa kwa wingi ili viungo kama Moyo, maini, Figo, Kongosho, macho nk, vya nguruwe viweze kutumika kwa ajili "transplantation" kwa watu wanaihitaji viungo--- sasa utaona nguruwe mwili wake upo close sana na mwili wa binadamu hiyo ni dhahiri kwamba mtu ukila nyama ya nguruwe ni karibu sana na kula nyama ya mtu ndiyo maana anayekula nyama ya nguruwe hawezi acha jinsi (watu wanasena) aliyekula nyama ya mtu kuacha ni kazi.
Madhara yatokanayo na Epigenetics basda ya kula kitimoto ni obvious, ndio maana mashoga, magonjwa ya kansa, na tabia za ukosefu wa ghera zimezidi hii inachangiwa sana ulaji mkubwa wa kitimoto, hulka za watu zimeharibika, watu wamekuwa mithili ya wanyama kitabia, Epigenetics ni ugonjwa unaoathiri genes moja kwa moja na Genes ndiyo tofali la mwili wa mtu, tofali likiharibika jengo zima huaribika.