Biashara gani inalipa Masasi kwa mtaji wa 1.5 million kwa mwaka 2026?

Biashara gani inalipa Masasi kwa mtaji wa 1.5 million kwa mwaka 2026?

Habari zenu wana JF

Naomba ushaurii wenu wadau wa MASASI hapo town ni biashara gani INALIPA ambayo nitajikwamua kimaisha kwa mtaji wa million moja na nusu.

Nawasilisha kwenu wadau
Jaribu kufanya biashara ya bidhaa mchanganyiko kwanza huku ukipandisha mtaji. Hii pia itakupa uzoefu wa biashara kupitia changamoto mbali mbali.
Jipe angalau miaka mitano. Then after anza fikiria biashara nyingine ya kuongeza kipato. Hii biashara ya mwanzo usiiache.
 
Masasi ni mji unaokua kibiashara,fika onana na wenyeji japo kwa sasa ingia vijijin nunua mazao uuze.
Mazao ya aina gani boss maana nasikia mazao yote kule yanauzwa magalanii ko ukiuza lazima usubiri kulipwa tofaut na mikoa mwingine unanunua shambani unakuja kuuza mjini mnaonana na mnunuzi cash to cash maisha yanasongaa
 
Sio mazao yote yanaenda ghalani kwa mfano njugu mawe,kunde,choroko karanga,mihogo,mahindi n.k
 
Back
Top Bottom