Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 600
- 945
Je kwa dodoma mjini hapa ni biashala gani ukifanya inaweza kutoboa
Ndio ndio😁Nikupe dili la pesa kijana.....nunua pikipiki ya laki 7 uipige service ya ukweli halafu nunua dumu tupu 10 na baada ya hapo nenda vijij vya lulindi Kule unachukua gongo dumu moja unachukua kwa 17000 kwahiyo dumu kumi itakuwa 170000.sasa ukishachukua unapeleka kwako na usisahau kununua drum kwa ajili ya kuchanganyia gongo na maji kwasababu hapo inabidi utie maji meupe ya mvua dumu mbili kwahiyo hapo hazitakuwa tena dumu 10 bali ni 12...sasa soko la gongo ni vijiji vya ruangwa na kilwa kule dumu wananunua 35000 kwasasa japo kuanzia mwezi wa 11 dumu linafika hadi 60000. kwahiyo hapo hesabu yetu ni 12 x35000=420000 na soko ni uhakika mno au ukiwa na kifua ukatoboa mtwara mjini kule ni 40000 dumu....ila inabidi uende vijiji vya tunduru au liwale kule Kuna wataalamu wanakupa dawa inaitwa kwa kimakonde(mkuluwano) ...kazi ya hii dawa ni wewe kupishana na vyombo vya dola ambao ni polisi mara nyingi watumiaji wa dawa hii ni majangili na wezi kiufupi unakuwa na machale....ndio unakuta wale watu wa matukio mumekaa nae mnapiga stori ghafla unashangaa anatoka haraka ghafla unaona polisi hao wanatokea basi ndio wanatumia hiyo dawa ila yote kwa yote utakapotembea usikose laki 3 mfukoni ili lolote likitokea huko njiani uweze kulitatua
Kwa dar sijui bei yake kaka....ila hizo ninazokuambia ni zile za Ruzuku ambazo wakulima walipewa mwaka jana kwahiyo hawakuzitumia walibaki nazo tuhii kwa dar bei gani mkuu?
Hiyo sulphur ninayoisema ni ile ya Ruzuku ambayo wakulima walipewa msimu uliopita sasa kutokana na watu wa masasi sio watumiaji wakubwa wa sulphur ndio huwa wanainunua kwa bei hiyo ya 15000 au 20000 halafu inaenda kuuzwa newala au tandahimba kwa bei ya 40000 kwasasamkuu umempa michongo ya uhakika tena bila choyo,salute kwako,ikikupendeza ongezea nyama kwenye hu mchongo wa sulphur
Daaaah Aisee..Cheza kindege, ndani za mwezi mmoja hiyo hela itajidabo mara 50
Kabisa aisee..Anakushauri Ubet tena 😂😂😂😂Ukicheza ww inatosha mkuu mim Sina ujuzi wa hyo kitu mkuu
Kwabiashara ya mazao kwa mtu mwenye mtaji mdogo ni kujisumbua tu nina binamu yangu yupo kaumu ana tani nne za mchele ndio mwenyewe anatamba eti anafanya biashara ya nafaka🤣🤣🤣....msimu uliopita nilimpa dili moja akusanye kochoko(mabibo yaliyokauka)wakati wa mavuno ya korosho kwahesabu ya gunia shiling 8000 kwahiyo angenunua gunia 500 kwa shiling 4000000 halafu anatunza stoo ikifika mwezi wa 10 anaanza kupika gongo na kila gunia unatoa lita 20 gongo kwahiyo hapo angepata kama dumu 500 hivi ambapo angeuza bei ya 40000 angepata pesa mzuri mno kuliko kuuza mcheleBiashara kwa masasi ni nyingi
Hasa ishu ya mazao kwa masasi itakutoa,ila lazima uwe na mtu mziefu akufundishe tunavyofanyaga wenzieo
Kwa maana kwa hesabu zako angeteneza million 20 kwa bei ya 40000 idea nzurii ila hao wanunuzi wapo wapii wakukuungisha dumu zote hizoKwabiashara ya mazao kwa mtu mwenye mtaji mdogo ni kujisumbua tu nina binamu yangu yupo kaumu ana tani nne za mchele ndio mwenyewe anatamba eti anafanya biashara ya nafaka🤣🤣🤣....msimu uliopita nilimpa dili moja akusanye kochoko(mabibo yaliyokauka)wakati wa mavuno ya korosho kwahesabu ya gunia shiling 8000 kwahiyo angenunua gunia 500 kwa shiling 4000000 halafu anatunza stoo ikifika mwezi wa 10 anaanza kupika gongo na kila gunia unatoa lita 20 gongo kwahiyo hapo angepata kama dumu 500 hivi ambapo angeuza bei ya 40000 angepata pesa mzuri mno kuliko kuuza mchele
Tandahimba kwenyewe wanauza bei hyo hyo ya elfu20Hiyo sulphur ninayoisema ni ile ya Ruzuku ambayo wakulima walipewa msimu uliopita sasa kutokana na watu wa masasi sio watumiaji wakubwa wa sulphur ndio huwa wanainunua kwa bei hiyo ya 15000 au 20000 halafu inaenda kuuzwa newala au tandahimba kwa bei ya 40000 kwasasa
Kaka soko la gongo ni kubwa mno wateja ni wale wenye vilabu vya pombe ambapo kila kijiji wapo wakutosha amini watu wanalewa balaa wewe utakuwa mtu wa kupokea oda tuKwa maana kwa hesabu zako angeteneza million 20 kwa bei ya 40000 idea nzurii ila hao wanunuzi wapo wapii wakukuungisha dumu zote hizo
Hamna anaeuza sulphur kwa bei hiyo tandahimba yote ile....kuna mshkaji yupo mdimba sudi alinipa oda nimpelekee mifuko 70 kwa bei ya 35000 mwezi wa tatu sasa ingekuwa inapatikana kwa bei hiyo ya 20000 angeniambia mimi?Tandahimba kwenyewe wanauza bei hyo hyo ya elfu20
Sawa kk wewe unafanya hyo biashara tuzunguke raund hata Moja unionyeshe mzunguko nahaitakuwa free ntakulipaKaka soko la gongo ni kubwa mno wateja ni wale wenye vilabu vya pombe ambapo kila kijiji wapo wakutosha amini watu wanalewa balaa wewe utakuwa mtu wa kupokea oda tu
Huyo hajawahi kufanya biashara yeyote ile ufanye biashara ya vyombo vya muziki masasi si utalala njaaDuka la mziki kwa maana vyombo vya mziki lazima uwe na mtaji mim mtaji wangu upo chini hivo itakuwa ngumu kumudu
Mimi ni mzalishaji wa hicho kitu nina kituo lulindiSawa kk wewe unafanya hyo biashara tuzunguke raund hata Moja unionyeshe mzunguko nahaitakuwa free ntakulipa
Kwanini usingempa hizi taarifa netu PM kwa usiri mkubwa?Mimi ni mzalishaji wa hicho kitu nina kituo lulindi
Mkuu mimi sio muoga hata kidogo aisee....labda unipige risasi ila ninachowakubali polisi hawachelewi kuchomana wenyewe kwa wenyewe sasa hapo mimi ndipo napapendaKwanini usingempa hizi taarifa netu PM kwa usiri mkubwa?
Kuna wakuda humu Kibao.
Mapolisi njaa yamejaa na intekujensia uchwara ya kuongea masikini.