Biashara gani inalipa Masasi kwa mtaji wa 1.5 million kwa mwaka 2026?

Fursa hapa masasi Kwa mtaji huo ni
1.Uza vinywaji
2. Fungua kibanda cha chips
3.Biashara ya Matunda

Utanishukur Masasi inamzunguuo sana wa pesa.
Oh nashkur acha nichague Moja niifanyie research vzurii
 
Sawa shukrani
Nikupe dili la pesa kijana.....nunua pikipiki ya laki 7 uipige service ya ukweli halafu nunua dumu tupu 10 na baada ya hapo nenda vijij vya lulindi Kule unachukua gongo dumu moja unachukua kwa 17000 kwahiyo dumu kumi itakuwa 170000.sasa ukishachukua unapeleka kwako na usisahau kununua drum kwa ajili ya kuchanganyia gongo na maji kwasababu hapo inabidi utie maji meupe ya mvua dumu mbili kwahiyo hapo hazitakuwa tena dumu 10 bali ni 12...sasa soko la gongo ni vijiji vya ruangwa na kilwa kule dumu wananunua 35000 kwasasa japo kuanzia mwezi wa 11 dumu linafika hadi 60000. kwahiyo hapo hesabu yetu ni 12 x35000=420000 na soko ni uhakika mno au ukiwa na kifua ukatoboa mtwara mjini kule ni 40000 dumu....ila inabidi uende vijiji vya tunduru au liwale kule Kuna wataalamu wanakupa dawa inaitwa kwa kimakonde(mkuluwano) ...kazi ya hii dawa ni wewe kupishana na vyombo vya dola ambao ni polisi mara nyingi watumiaji wa dawa hii ni majangili na wezi kiufupi unakuwa na machale....ndio unakuta wale watu wa matukio mumekaa nae mnapiga stori ghafla unashangaa anatoka haraka ghafla unaona polisi hao wanatokea basi ndio wanatumia hiyo dawa ila yote kwa yote utakapotembea usikose laki 3 mfukoni ili lolote likitokea huko njiani uweze kulitatua
 
Dili nzurii ntalifanyia kaz mkuu nashukuru
 
Hizi biashara zinatisha tu ukiwa nje ila ukiwa ushazianza ni kawaida tu ...mwaka juzi nilienda kule kilwa kwenye dili fulani ndipo nikakutana na mshkaji ndio akanipa Dili la kilimo cha mmea kiukweli mwanzo niliogopa ila baadae nikajua chakuogopwa ni kaburi tu fikiria mshkaji alivuna gunia 27 zakushindia kwa miguu
 
Shida ukigundulika hauna chako mazee
 
Shida ukigundulika hauna chako mazee
Kaka nikuambie kitu kimoja kufanya biashara za kuuza biskuti hautoboi aisee...vitu vinavyoogopwa na watu ndivyo vyenye fedha nyingi ....mfano ungekuwa na chombo ningekupa dili moja la pesa ndefu sana ni hivi hiki ni kipindi cha kupuliza mikorosho na hadi leo wakulima hawajapata sulphur ya Ruzuku kwahiyo wakulima wamepagawa sana wapi kwata sulphur sasa ukipambana vijijini masasi utapata kwa bei ya 20000 kwa mfuko ukifanikisha kuvusha tu kwenda vijiji vya wilaya ya newala wewe ni hela tupu ila sema wakikunasa ni faini sio chini laki 7
 
hii kwa dar bei gani mkuu?
 
Shida ndo hyo unahitaji usafir pili ujuane na watu unaenda muuzia nani
 
Kuna jamaa ameongelea nafaka imenikaa sana wazo lake nkipata mtaji na mimi nifanye wazo lake Hilo,
 
All the best soldier 💪.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kaka nikuambie kitu kimoja kufanya biashara za kuuza biskuti hautoboi aisee...vitu vinavyoogopwa na watu ndivyo vyenye fedha nyingi ....mfano ungekuwa na chombo ningekupa dili moja la pesa ndefu sana ni hivi hiki ni kipindi cha kupuliza mikorosho na hadi leo wakulima hawajapata sulphur ya Ruzuku kwahiyo wakulima wamepagawa sana wapi kwata sulphur sasa ukipambana vijijini masasi utapata kwa bei ya 20000 kwa mfuko ukifanikisha kuvusha tu kwenda vijiji vya wilaya ya newala wewe ni hela tupu ila sema wakikunasa ni faini sio chini laki 7
mkuu umempa michongo ya uhakika tena bila choyo,salute kwako,ikikupendeza ongezea nyama kwenye hu mchongo wa sulphur
 
Back
Top Bottom